Uongo mkubwa maishani

Uongo mkubwa maishani

claudde

New Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
3
Reaction score
5
Binadamu tunakutana na vikwazo vingi sana katika maisha ili tu kufanikisha yale tunayoyahitaji.

Je Katika maisha yako yote, Ni uongo gani Mkubwa ambao uliwahi kumwambia mtu au kuufanya ambao hutokaa Uusahau milele.

Au ni uongo gani uliowahi kuuskia mkubwa ambao hutokaa uusahau!?.

Karibuni wadau.
 
Kuna sehemu nilienda nikadanganya kuwa mimi ni ziraili mtoa Roho...... nikarudi na maburungutu ya manoti
 
Id yangu ya JF, kila mtu humu anajua hii id ni ya uongo lakini hakuna anayejali, wala mimi sioni aibu kudanganya
 
mzungu kutengeneza mtu kasoro kumwekea uhai tu!
 
1.Eti kufikia karne ya 15 Afrika na ulaya zilikuwa sawa kimaendeleo!
2.Eti Iraq kuna mabomu ya nyuklia na silaha za maangamizi-Bush&Blair
3.Eti binadamu wa kwanza aliishi hapa hapa bongo.
 
Back
Top Bottom