uongo bila kumbukumbu!

uongo bila kumbukumbu!

Ndengaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
8,694
Reaction score
16,320
UKIWA MUONGO USIWE
MSAHAULIFU SIKIA HII
Muongo alikua anawahadithia
watu jinsi alivyokua
anamkimbiza swala porini
akaishia amemkamata swala
amemlaza chini, Mara sim yake
ikaita, kumaliza kuongea
akauliza nili ishia wapi
kuhadithia? Wakajibu
umemlaza chini,aah basi
nikaanza kumla
denda,"Wakajiul iza kimoyo
moyo, huyo huyo swala?
Wakaguna mmh!".!! muongo
yuko bize na stori basi
nikaanza kumvua chupi fasta
nikagonga 3, mtoto anakatika
mbaya alafu nimemkuta mtoto
bikra ajaguswa kitu Orijino
alinipa tabu sema tu mie
jembeWatu ahaa.!! we -----
nini, toka lini swala akavaa
chupi?
 
mara nyingi waongo aina hiyo random access memory (RAM) zao huwa ndogo sana kiasi cha bytes kiduchu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom