[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeeh wasipande gari yakoMnawachekea. Kuna siku walinikatamata pale parking ya IFM wanadai wrong parking nawauliza alama ya wrong parking ipo wapi hawana majibu. Wakadai twende ofisin kwao...
Kuna jamaa walimkamata na gari ya kampuni kizembe zembe hivyo na wakaingia kwenye gari yake kwa nguvu. Jamaa hakuwa na story akaendelea na safari yake mpaka ofisni kwao na wakamataji wakiwa ndani.Mnawachekea. Kuna siku walinikatamata pale parking ya IFM wanadai wrong parking nawauliza alama ya wrong parking ipo wapi hawana majibu. Wakadai twende ofisin kwao....
Na vi bajaj.Hao dawa yao ni kuwachoma na petrol kwenye hizo noah zao
Mkuu Dar es Salaam kubwa ungekua specific wenye mji wao wapo humu wanasikilizaKuna jopo la watu limezagaa Dar es Salaam wanaovaa uniform za shati jeupe na suruali nyeusi wanaokamata magari kwa madai ya wrong parking...
Hao jamaa tatizo hawajawahi pigwa, siku wakikutana na kipigo hakika wataheshimu watuKuna jamaa walimkata na gari ya kampuni kizembe zembe hivyo na wakaingia kwenye gari yake kwa nguvu. Jamaa hakuwa na story akaendelea na safari yake mpaka ofisni kwao na wakamataji wakiwa ndani.
Kufika ndani ya ofisi wakaanza kushangaa shangaa wakaondoka. Jana sasa wakakutana na jamaa tena katikati ya barabara na kuifunga cheni kwa madai aliwakimbia na gari wameipeleka yard yao.
Ninachojiuliza wanamamlaka gani ya kumtuhumu na kumkata mtu kwa kesi ambayo haijulikani kisheria?
Yule dogo wa mbeya walitia chuma ford ranger yake aliporudi akawakuta akawatandika risasi chali.Wakifunga chuma wakaondoka fungua tairi weka spair tyre sepa na mpaka chuma lao ila kumbuka pistol muhimu mda mwngne
Hawa wa dar ni CHANGAMOTO na ni vibaka maana wanapalamia gari huku unaongea huku wanafungua milango wanaingia kwenye gari hzo ni dharauYule dogo wa mbeya walitia chuma ford ranger yake aliporudi akawakuta akawatandika risasi chali.
jamaa ni vibaka tu. Nina hakika wakiingia kwenye gari na kuona simu imekaa kizembe wanapita nayo.Hawa wa dar ni CHANGAMOTO na ni vibaka maana wanapalamia gari huku unaongea huku wanafungua milango wanaingia kwenye gari hzo ni dharau
Mtu anaeingia kwenye gari bila ruhusa tena Zaid ya mmoja huyo ukimshambulia kina kosa ndugu zangu? Maana je kama sio waojamaa ni vibaka tu. Nina hakika wakiingia kwenye gari na kuona simu imekaa kizembe wanapita nayo.