Pax Vobiscum
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 455
- 764
Salaam wakuu,
Uongozi wa Halmashauri ya Mlimba umetangaza kuanza kuwaandikisha na kuwasajili wakulima wa zao la kokoa,
Hii inafikirisha sanaaa, je Nia yao Nini hasa?
Kwanini waje na huo Mpango kwa wakulima wa kokoa tu? Kwanini wasifanye kwa wakulima wote wa mpunga, mawese, mahindi, matikiti n.k?
Kwanini wakulima wa kokoa wanasumbuliwa sumbuliwa?
Mtu ahangaike kulima akianza kuvuna wao wanakuja na mikakati kibao, kujifanya kumsaidia mkulima.
Kwa ufupi inaonekana Kuna shida sehem, Kuna mipango ovu na isiyo na Nia njema kwa wakulima wa kokoa.
Tunaomba huo Mpango wao waachane nao, watu hawataki mambo ya kusumbuana ktk kilimo na mazao yao.
Kama wanataka kusajili basi wasajili wakulima woteeeeeee, siyo kujichagulia zao Fulani hivi, zao hili vile.