Uombaji wa vyuo awamu ya pili

Uombaji wa vyuo awamu ya pili

Mussa Ubapa

Member
Joined
Sep 18, 2017
Posts
49
Reaction score
19
Wadau wa JF nahitaji kujua kama inawezekana na kukubarika kwa mwanafunzi ambaye tayari amedahiliwa kwenye chuo kimoja tu,lakini course aliyopata hakulizika nayo.Je na yeye anaweza Ku reapply ???
 
sidhani kwa sababu kama hiyo course haridhiki nayo hakutakiwa kuomba toka mwanzo
 
Wadau wa JF nahitaji kujua kama inawezekana na kukubarika kwa mwanafunzi ambaye tayari amedahiliwa kwenye chuo kimoja tu,lakini course aliyopata hakulizika nayo.Je na yeye anaweza Ku reapply ???
Kuna Transfer Subiri utapata ,au Unaweza Badili Course Happ Chuoni
 
Ilikuwa lazima kujaza course tano,so zingine ilikuwa ni kuongezea tu afu ndo hizo unapata
Transfer zitafanyika Soon Baada ya Kumaliza Hizo Selections..Ila Utatakiwa kulipa Ada za Uhamisho ,kutoka Chuo A To Chuo B ..

Ingawa na Uhamisho una mengi

Chuo unachochataka Wanaweza sema hawana nafasi ..

Kama Utabahatika Kupata Mkopo pia ,utapangiwa Allocations kwa Chuo chako ulichochaguliwa mwanzo...Sasa ukibahatika Kuhama ,ina maana Unaweza Uishi Chuo semester nzima pila Buuuuuummuuu Ni tahadhari Tu mkuu

Au Unaweza Kwenda Chuo Ulichochaguliwa afu Ukafika Pale Ukaongea na The Concern Kama Ni Register au Watu wa academic wakakuhamisha Kozi pale pale Chuo ...

Ila Ina effect pia Kama umeenda pale na kozi Ya Miaka Mitatu afu Ukahamia Kama Engineering ya Miaka Minne...bodi wanajua wewe upo Na Miaka Mitatu ..usipofatilia Vyema unaweza Fika Mwaka wa tatu pesa Ikakata Kama Luku ...
 
Ahsante Mkuu
 
daah mkuu umenena vema
Namshauri na kumsihi sana asifanye transfer KABISA
 
Yalinikuta mkuu nikala jeuri yangu adi nikazoeleka heslb adi tcu walijua mimi ni mmoja wa wafanyakaz pale maana kila siku nipo
Mkuu Nimecheka kwa sauti kubwa
Wenzako wanakula Q1 na Q2 we huna hata Mia ..pesa Ziko Chuo Cha awali ..

Alafu unaweza upewe Q2 uambiwe ile Q1(724,000) haijafanyiwa Retirement
 
daah umenikumbusha mbali sana mkuu ivo yan hasa ako kaneno retirement bado hahaaa atari sana atasugua mwisho anaweza ata akarudi hom sjui kitu gani sjapitia upande wa izo changamoto
Pale hesb utaskia napishana na liboss yupo habar za saiz vip bakari kaenda kupata chai
 
Neno la

retirement
Allocation

Lazima ulisikie kila Siku uendapo

Bila kusahau kutaja Namba ya Form Four Pale Mapokezi
 
salute boss umeiva hahaa mlemle ila anyways ajaribu mdau huenda ikawa easy
 
Sio kweli ...nilisema Sitasita Kumshauri mtu Kuhama chuo Kama Ilivyo Taratibu na stasahau kumsanua ajiandae kupiga jaramba za Bodi ya Mikopo kwa kukimbizana na ile saa Saba yao

Kuhama Ni rahisi ..Cha msingi Ujipange na pesa ya kianzio
 
Absolutely legend,, aandae kilo kadhaa mimi nilikaa semester3 buku ilikua inatosha mlo wa siku nzima asubui kavu mchana miogo mitano jioni miogo minne na chai ya rangi siku imeisha dah mabibo sokoni kule sjui adi leo izi mambo hahaaa you made my day brother
 
Kuna Transfer Subiri utapata ,au Unaweza Badili Course Happ Chuoni
Kwahyo chuo
Transfer zitafanyika Soon Baada ya Kumaliza Hizo Selections..Ila Utatakiwa kulipa Ada za Uhamisho ,kutoka Chuo A To Chuo B ..

Ingawa na Uhamisho una mengi

Chuo unachochataka Wanaweza sema hawana nafasi ..

Kama Utabahatika Kupata Mkopo pia ,utapangiwa Allocations kwa Chuo chako ulichochaguliwa mwanzo...Sasa ukibahatika Kuhama ,ina maana Unaweza Uishi Chuo semester nzima pila Buuuuuummuuu Ni tahadhari Tu mkuu

Au Unaweza Kwenda Chuo Ulichochaguliwa afu Ukafika Pale Ukaongea na The Concern Kama Ni Register au Watu wa academic wakakuhamisha Kozi pale pale Chuo ...

Ila Ina effect pia Kama umeenda pale na kozi Ya Miaka Mitatu afu Ukahamia Kama Engineering ya Miaka Minne...bodi wanajua wewe upo Na Miaka Mitatu ..usipofatilia Vyema unaweza Fika Mwaka wa tatu pesa Ikakata Kama Luku ...
So nauliza kama unahamia chuo kingine ulipaji wa ada inakuaje kama bado mkopo wako haujaanza kupelekwa kwenye chuo ulicho hamia?
 
Ada hainaga Tatzo maana Always comes Last ..
Na Hakuna wa kukusumbua ..wataangalia Ni shingapi umelipiwa ..na Utatakiwa kulipa Unachotakiwa kulipa ikija ada unasaidi hata iwe mwaka semester 2 ..
Ila Mind You
" Ukihama Chuo na Ada Yako Inaweza ipungue Au Iongezeke"
Mfano Mimi Nilihama Kutoka "UDSM" COURSE ya Computer science Nikahamia NIT Course ya IT ..kipindi Nipo Udsm nilikuwa na Special Falcuty ya Shilingi 60 elfu nilipohama ikakatwa ..nilikuwa na Ada nalipiwa 995,000 nilipohama mpka Navyoongea Sasa Nalipiwa 665,000 ..
Faida za Kuhama Tunawapa kidogo
 
Wanafunzi wengi wa elimu ya Juu wanakosa umakini na wanashindwa kutofautisha kati ya
COURSE , FACULTY NA DEGREE PROGRAM

Naombeni sana muanze kujizoesha kutumia maneno stahiki na badala ya kuendelea na minor mistakes
 
Back
Top Bottom