TangaNyika_TZ
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 239
- 52
Naomba tujaribu kutumia busara na hekima katika hili suala, baada ya kutafakari kwa muda, inaonekana kuna namna watanzania tunatawaliwa na chama tawala tena kwa mbinu za kisaikolojia. Ni kweliiiiiiii???