UOGA WA USILOLIJUA - mkutano wa UKAWA

TangaNyika_TZ

JF-Expert Member
Aug 23, 2015
239
52
Naomba tujaribu kutumia busara na hekima katika hili suala, baada ya kutafakari kwa muda, inaonekana kuna namna watanzania tunatawaliwa na chama tawala tena kwa mbinu za kisaikolojia. Ni kweliiiiiiii???
 
Mwisho October 25 sir hawa mabepari maintarahamwe lazima yaondoke mkuu.


swissme
 
Najua hamjui,lakini Sumaye ndiye anataka kuchukua nafasi ya Mzee,
Cha msingi tumwombee Mzee apate afya,
Me I don't care apate au akose, but
Afya yake ni muhimu sana. Hadi roho
Inauma kwa yaliyotokea Jana.
 
Back
Top Bottom