lilraq12345
Member
- May 25, 2017
- 19
- 40
Zote hizo nafanya services kila baada ya km 5000 na oil ninayotumia huwa natumia total 5w30Labda ulikuwa huifanyii service
Nitajaribu ila wanasema hizi hybrid mafundi tatizoNunua hybrid prius, auris, mitsubish mirage au mazda verisa uje kutoa mrejesho.
Hizo ulisema naunga mkono hamna lolote 11 imeenda 12 km per litter
Tafta hela MkuuGari nyingi kama 1st, vitz ,ractis na gari zingine ndogo
Kiupande wangu gari ndogo nimeendesha na kumiliki kama tatu ractis vits na ist kwa kipindi tofauti ila utofauti na watu wanavosema hazinywi mafuta au kama google wanavosema au madalali wanavouza gari wanavozisifia zinatembea mpaka km 18km/l na tangu nianze kuzimiliki huwa napata 10km/l imezidi 11km/l mpaka sasa huwa najiuliza haya maneno ni kweli watu wanavosema au mm ndo sielewi
Note nimejaribu mpaka kuto kuendesha gari rough lakin sikuona mabadiliko
Wenye uzoefu na gari hizi ndogo msaada kidogo ili nipate majibu ya research zangu mpaka nimeona bora ninunue gari kubwa maana hamna maana ya kumiliki vits unywaji sawa na prado ☺️☺️☺️
Issue sio kutafuta hela mkuu hakuna aloanza akawa na hela mm ni kijana sijafika hata 29 hizo hela napata wapi kama ww umepewa au za famalia au umejipata unazo kausha mi nafanya research kuna umuhimu wa kumiliki gari ndogo kama ulaji sawa na hizo zako ww mwenye hela ndo point mi nilitegema ninunue gari ndogo nikute kile kitu nilichokuwa naskia au kugoogleTafta hela Mkuu
Hua ni maneno tu,endesha kitu unapendaGari nyingi kama 1st, vitz ,ractis na gari zingine ndogo
Kiupande wangu gari ndogo nimeendesha na kumiliki kama tatu ractis vits na ist kwa kipindi tofauti ila utofauti na watu wanavosema hazinywi mafuta au kama google wanavosema au madalali wanavouza gari wanavozisifia zinatembea mpaka km 18km/l na tangu nianze kuzimiliki huwa napata 10km/l imezidi 11km/l mpaka sasa huwa najiuliza haya maneno ni kweli watu wanavosema au mm ndo sielewi
Note nimejaribu mpaka kuto kuendesha gari rough lakin sikuona mabadiliko
Wenye uzoefu na gari hizi ndogo msaada kidogo ili nipate majibu ya research zangu mpaka nimeona bora ninunue gari kubwa maana hamna maana ya kumiliki vits unywaji sawa na prado ☺️☺️☺️
Usipaniki kijana... just kidding. Chukua MIRA, ni spacious na good looking. 650cc lita moja km18 uhakika... I have itIssue sio kutafuta hela mkuu hakuna aloanza akawa na hela mm ni kijana sijafika hata 29 hizo hela napata wapi kama ww umepewa au za famalia au umejipata unazo kausha mi nafanya research kuna umuhimu wa kumiliki gari ndogo kama ulaji sawa na hizo zako ww mwenye hela ndo point mi nilitegema ninunue gari ndogo nikute kile kitu nilichokuwa naskia au kugoogle
Shukran bro kwa mira hapana kimuonekano sijaipenda ila engine ndogo niliamini hivo pia vitz niliyonunua ilikuwa 990cc lakini nikapata kitu kilele ist ilikuwa 1490cc na ractis the same 1490cc ila zaidi nitatafta hela sisi tusokuwa na hela huwa tuna budget mpaka ya mafuta kwa mweziUsipaniki kijana... just kidding. Chukua MIRA, ni spacious na good looking. 650cc lita moja km18 uhakika... I have it
IST yangu ya AWD inanipa 12km per liter mjini... Service ya air filter,plugs na mguu mwepesi unahitajika.Gari nyingi kama 1st, vitz ,ractis na gari zingine ndogo
Kiupande wangu gari ndogo nimeendesha na kumiliki kama tatu ractis vits na ist kwa kipindi tofauti ila utofauti na watu wanavosema hazinywi mafuta au kama google wanavosema au madalali wanavouza gari wanavozisifia zinatembea mpaka km 18km/l na tangu nianze kuzimiliki huwa napata 10km/l imezidi 11km/l mpaka sasa huwa najiuliza haya maneno ni kweli watu wanavosema au mm ndo sielewi
Note nimejaribu mpaka kuto kuendesha gari rough lakin sikuona mabadiliko
Wenye uzoefu na gari hizi ndogo msaada kidogo ili nipate majibu ya research zangu mpaka nimeona bora ninunue gari kubwa maana hamna maana ya kumiliki vits unywaji sawa na prado ☺️☺️☺️
Ndo maana nilikwambia tafuta hela mdogo wangu ila we ukaniwazia vibaya. Ila kimsingi katika maisha ukiwa Huna hela basi Huna maamuzi na Huna chaguo. Kinachokuja ndio chako.. SIO KWA UBAYA UBWELA LAKINI!!Shukran bro kwa mira hapana kimuonekano sijaipenda ila engine ndogo niliamini hivo pia vitz niliyonunua ilikuwa 990cc lakini nikapata kitu kilele ist ilikuwa 1490cc na ractis the same 1490cc ila zaidi nitatafta hela sisi tusokuwa na hela huwa tuna budget mpaka ya mafuta kwa mwezi
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ipe mtori!!
ALL the best
Iko hivi, ukiambiwa 18km/l maana yake gari inapokuwa mpya na kila kitu bado kizima kwa almost 100%Gari nyingi kama 1st, vitz ,ractis na gari zingine ndogo
Kiupande wangu gari ndogo nimeendesha na kumiliki kama tatu ractis vits na ist kwa kipindi tofauti ila utofauti na watu wanavosema hazinywi mafuta au kama google wanavosema au madalali wanavouza gari wanavozisifia zinatembea mpaka km 18km/l na tangu nianze kuzimiliki huwa napata 10km/l imezidi 11km/l mpaka sasa huwa najiuliza haya maneno ni kweli watu wanavosema au mm ndo sielewi
Note nimejaribu mpaka kuto kuendesha gari rough lakin sikuona mabadiliko
Wenye uzoefu na gari hizi ndogo msaada kidogo ili nipate majibu ya research zangu mpaka nimeona bora ninunue gari kubwa maana hamna maana ya kumiliki vits unywaji sawa na prado ☺️☺️☺️
Kumbe ata iyo gari hujanunua, sas mbona umesema umemilik kwa vipind tofaut,Issue sio kutafuta hela mkuu hakuna aloanza akawa na hela mm ni kijana sijafika hata 29 hizo hela napata wapi kama ww umepewa au za famalia au umejipata unazo kausha mi nafanya research kuna umuhimu wa kumiliki gari ndogo kama ulaji sawa na hizo zako ww mwenye hela ndo point mi nilitegema ninunue gari ndogo nikute kile kitu nilichokuwa naskia au kugoogle