Unywaji wa kahawa

sharifusaid

Senior Member
Jan 24, 2015
107
63
Samahani wana JF Naomba kuuliza kidogo
Kila baada ya siku mbili au moja napendelea kunywa kahawa vikombe 3 adi 4 sasa Tatizo langu kila nikinywa baada kama ya saa 1 au zaid Najiona kama nimelewa au inanilewesha.

Nakuwa katika ile hali kama mtu anavoanza kulewa.
Sasa Naomba msaada kwa anaefahamu kwanini Kila nikinywa Nalewa au inanifanya kama Nimelewa.
 
Ni kweli! Kuna jamaa alikunywa vikombe 12 vya kahawa sasa wakati tunaondoka anafanya mambo hatumuelewi elew mara agombane na watu anasimama anaomba tumsubiri tunamuuliza tatizo nini anatuambia anajihisi kama amelewa kwa iyo huenda ni sawa kuwa kahawa ina ulevi
 
Back
Top Bottom