Mambo yamebadilika siku hizi lazima utesti kwanza kama kitu iko fresh ndo unaingia mkataba kama hapana unakula kona "Usijeukauziwa mbuzi kwenye gunia" Mawazo yangu lakini
DA hapo nakuunga mkono 100%, wewe utaoa vipi kabla ya ku-test kitu ili ujue unachukua kitu cha aina gani ili kama hakilipi ule kona mapema kabisa!!!

Ndo uonje mara kumi?Tatizo ni kwamba walioweng wana2mia njia hiyo kuwaharibu wasichana hawana nia
Ni muhimu kumjua mtu kabla hamjaoana!Ndo maana watu wanaobebana tu baadae kila mmoja anaanza sikujua yuko hivi..ningejua kumbe yuko vile!Kidini sio sawa ila katika ulimwengu wa leo ni muhimu sana!
Jamani! Siku hizi imekuwa ni kawaida sana kwa mwanamume na mwanamke(ambao wanategemea kuoana) kuishi pamoja kama mke na mume. Si ajabu ukakuta mwanamke anakaa mkoa X lakini kila weekend au likizo anaenda mkoa Y eti kumsalimia"mchumba wake" ambaye kwa muktadha wa post hii na maadili ya jamii zetu na imani zetu za kidini huyo si mchumba bali ni MZINZI MWENZAKE au HAWARA YAKE. Na mbaya zaidi unakuta wanaishi maisha ya uzinifu kwa muda mrefu then wanaamua eti kubariki ndoa.
Viongozi wetu wa dini nao wanakubali kufungisha ndoa za wazinzi hawa bila aibu. Na si ajabu siku hizi kuona wazinzi wawili(mwanamke na mwanamume) wakiwa wameongozana wakienda ktk ibada iwe kanisani au msikitini. Sijui wanaenda kuabudu au kumkejeli muumba wao.
Kama wewe halijakutokea inawezekana umeliona kwa rafiki, ndugu au hata kwa adui yako.
NINI MAONI YAKO: NI KUMONG'ONYOKA KWA MAADILI AU NI MAENDELEO?
Mambo yamebadilika siku hizi lazima utesti kwanza kama kitu iko fresh ndo unaingia mkataba kama hapana unakula kona "Usijeukauziwa mbuzi kwenye gunia" Mawazo yangu lakini
Ni muhimu kumjua mtu kabla hamjaoana!Ndo maana watu wanaobebana tu baadae kila mmoja anaanza sikujua yuko hivi..ningejua kumbe yuko vile!Kidini sio sawa ila katika ulimwengu wa leo ni muhimu sana!
BL hata mboga lazima uonje chumvi kama imekolea
na utaolewa vipi bila kutest? hiyo ni two ways! ha haaaaaaaaaaaa
unatest au anatestiwa?
Jamani! Siku hizi imekuwa ni kawaida sana kwa mwanamume na mwanamke(ambao wanategemea kuoana) kuishi pamoja kama mke na mume. Si ajabu ukakuta mwanamke anakaa mkoa X lakini kila weekend au likizo anaenda mkoa Y eti kumsalimia"mchumba wake" ambaye kwa muktadha wa post hii na maadili ya jamii zetu na imani zetu za kidini huyo si mchumba bali ni MZINZI MWENZAKE au HAWARA YAKE. Na mbaya zaidi unakuta wanaishi maisha ya uzinifu kwa muda mrefu then wanaamua eti kubariki ndoa.
Viongozi wetu wa dini nao wanakubali kufungisha ndoa za wazinzi hawa bila aibu. Na si ajabu siku hizi kuona wazinzi wawili(mwanamke na mwanamume) wakiwa wameongozana wakienda ktk ibada iwe kanisani au msikitini. Sijui wanaenda kuabudu au kumkejeli muumba wao.
Kama wewe halijakutokea inawezekana umeliona kwa rafiki, ndugu au hata kwa adui yako.
NINI MAONI YAKO: NI KUMONG'ONYOKA KWA MAADILI AU NI MAENDELEO?
Vyote kwa pamoja wewe unatest mie natest (nani kasema wanawake hawatest) Na haya matangazo ya kuongeza nguvu za kiume yalivyomengi siku hizi lazima utest je kitu imetulia au ndo mpaka ikaongeze hiyo dawa

mmmmmmmmmmmm mnajidai na nyie mnajua kutest, sisi kama nguvu zimepungua tutaongeza dawa na njieje au ndio mambo yale ya kichina! all in all kutest muhimu