Unyumba kabla ya nyumba

Tatizo ni upungufu wa imani, ukimuomba Mungu kwa moyo safi basi nae atakupatia Mume bora au mke bora. Ila tatizo watu imani zao zimekua haba.. Watu tunatumia akili zetu kuliko kumtegemea Mungu.. Na hili ndo tatizo kubwa, ila nadhan na mmomonyoko wa maadili nao umechangia, nadhani babu zetu walikuwa wanachakachuana baada ya kuoana.
 
BAK...siamini hata kidogo eti binti amejitunza vizuri na anampenda Mungu, akose mume wa kumuoa...:A S 13:. Wapo wanaume pia wanaopenda mabinti waliotulia, ambao hawaonjeshi kwa kila mtu, kwa hiyo atapata tu!

Ni kweli uyasemayo KH....siku hizi pia kuolewa wakati mwingine ni bahati ya mtu tu maana unaweza kumuona binti ambaye "hajatulia" akiolewa na yule ambaye "ametulia" miaka ikiendelea kukatika tu bila kumpata mwenzi wake. Hii kitu KH haina formula kabisa kwamba nikiamua kuwa hivi au vile nitaolewa/kutoolewa.
 
Tatizo ni upungufu wa imani, ukimuomba Mungu kwa moyo safi basi nae atakupatia Mume bora au mke bora. Ila tatizo watu imani zao zimekua haba.. Watu tunatumia akili zetu kuliko kumtegemea Mungu.. Na hili ndo tatizo kubwa, ila nadhan na mmomonyoko wa maadili nao umechangia, nadhani babu zetu walikuwa wanachakachuana baada ya kuoana.

Shukrani sana Nondo,ukweli mtupu.....ubarikiwe sana!!
 
Acha kuwachuuza wenzio, kuna mfano live mtaani kwetu, binti mmoja mtaani, kila vijana wakijitokeza kutaka kuja kujitambulisha wanakimbia kimyakimya... kuja kugundua tatizo hataki wa confirm kama kweli bidhaa inalipa... sasa hivi anatafuta 40 wadogo zake wote wa kike wameolewa!!! Mtu utauziwaje mbuzi kwenye gunia, ukishaoa ukaenda usiikute inapotakiwa iwe!!!! :A S 13::A S 13:

Babu lao.... wala simchuuzi mtu. Nafikiri tofauti iko kwenye swala la imani. Mimi kulingana na imani yangu nasema hivi kwa kumheshimu Mungu wangu, basi ni bora nisiolewe, kuliko kumkosea Mungu wangu ati natafuta mume kwa kuonjesha kwa kila ajaye..SORRY...:A S 13:
 
Dunia imetaharuki!!!
Kwa ulimwengu huu ulivyo ni afadhali mara mia mbili, ukajua unaingia na nani humo ndani,
hata umfahamu kwa sehemu tu.
Hapana, dunia ya kuenenda kwa Imani naona inafikia mwisho.
Sijui ndo mwisho wenyewe huu, mmmh utamaso na ulaghai umejaa sana.
 
kumfahamu mtu haiminishi uishi naye kwanza. Nafikiri kipindi cha uchumba hadi ndoa, bado mnaweza kusomana tabia. Kuambiana ukweli ni kitu muhimu, na pia kuwaona madaktari ili kuona kwamba mtahili vishindo mkiwa chumbani.
Hakuna sababu ya kuhalalisha kuishi maisha ya unyumba kabla ya ndoa. ni upungufu wa imani.
 
Watu wote wanaotetea imani hapa kama wamewahi kua na mahusiano ya kimwili na mwanaume/mwanamke then ni unafiki!!!Huwezi kupinga watu wawili kuishi pamoja eti kwasababu hawajaona wakati wewe una mahusiano ya kimwili na mtu wakati hamjaoana!!!
 
mh,so kama ulikosea then ukaijua njia sahihi na unawashauri wasifanye hivyo huo nao unafiki?na kuna kutofautiana opinion my dear,si unafiki...and by the way mtu halazimishwi kuchukua kila analoambiwa,at the end ni uamuzi wa mtu binafsi......anyway,sikujua kusema kitu tofauti na wengine hata kama uliwahi kuwa hivyo ni unafiki....am out!
 
Tofautisheni ndoa na fomalities za ndoa, hata kama mna timu ya futbolli kama hamjaweka nadhiri ya kuishi pamoja nyinyi hmjafunga ndoa, na hata kama hamjachakachuana au shake well before use haijapita mkafungishwa ndoa lakini kila mmja anamlengo yange mbele za Mungu hiyo si ndoa , Mungu anaibariki ndoa iliyohalali ikiwa mioyo ya wawili hao imekubaliana kabisa, so kama wamechakachuana au la iyo shauri yako, kama huwezi kuchakachua subiri muda wako ukifika upate mwenza, lakini atakuwa kachakachuliwa na wenzio................. kagabaho na............................

YaPO MAMBO YA KUTESTI KAMA CHUMVI KATIKA MBOGA,CHAI KAMA SUKARI IMEZIDI AU LAA! ILA CO UCHI, HAYA MAMBO MAZITO JAMANI,KATIKA DHAMBI KUBWA NI II, MANA AMELAANIWA YULE ATENDAYE DHAMBI JUU YA MWILI WAKE MWENYEWE(KUZINI) SASA MNAOSEMA LAZMA KUPMA KAMA PANA LIPA AU LAA CJUI NI WA DINI GANI TUJISAHIHISHE WAJUMBE!
 
mh,so kama ulikosea then ukaijua njia sahihi na unawashauri wasifanye hivyo huo nao unafiki?na kuna kutofautiana opinion my dear,si unafiki...and by the way mtu halazimishwi kuchukua kila analoambiwa,at the end ni uamuzi wa mtu binafsi......anyway,sikujua kusema kitu tofauti na wengine hata kama uliwahi kuwa hivyo ni unafiki....am out!

Dearest wala mimi sio fan wakulazimisha mtu aende sambamba na mimi....ila mtu ambae sasa hivi ana mpenzi alafu anmng'ong'a yule anaeishi na mpenzi anakua haangalii anachofanya yeye anaona anachofanya mwenzie tu!!!Kama mtu ameamua kubadilika huyo anaweza kusema.....kwasababu hayuko kwenye njia hiyo anayoilaani!!!Huwezi kutembea peku kwa kukosa hela ya kununua viatu alafu ukamcheka aliyevaa malapa yaliyokatika na kutoboka kwamba ni masikini!!!!
 
kumfahamu mtu haiminishi uishi naye kwanza. Nafikiri kipindi cha uchumba hadi ndoa, bado mnaweza kusomana tabia. Kuambiana ukweli ni kitu muhimu, na pia kuwaona madaktari ili kuona kwamba mtahili vishindo mkiwa chumbani.
Hakuna sababu ya kuhalalisha kuishi maisha ya unyumba kabla ya ndoa. ni upungufu wa imani.

Hebu soma mstari huu hapa Mpendwa:
Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo,
kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu. Efeso 3:20.

Tukumbuke kwanza tunaokolewa kwa neema, na Imani juu ya Mungu huja kwa kusikia na kusikia huja kwa neno la Mungu.
Tukumbuke kiwango cha Imani na nguvu ya Imani ndani ya mtu inatofautiana. Na Mungu anafanya mambo kadiri ya nguvu iliyopo ndani yako.

Ninachotaka kusema ni nini? Tusiwe na haki kupita kiasi, Kila mtu hapa duniani ana njia yake ya kupita, kuna mtu mmoja anaitwa Hosea aliambiwa aende akaoe mzinzi fulani hivi. Fuatilia ukoo wa Yesu, usome habari za Ruthu, Rahabu, na wengine.

Sasa basi kwa kuwa dunia imezungukwa na mambo mengi, siweze kumlazimisha mtu aamini kama ninavyoamini mimi, hasa kwenye swala la mahusiano, hili swala limekaa kimwili zaidi, mnisamehe!! Hakuna kuhubiri injili humo ndani, wala kuimba mapambio. Sasa ukikutana na huyo asiyeweza sijui utaishi naye kwa Imani, wakati kama ungemfahamu mapema ungefanya uamuzi mapema??
 
Ni muhimu kumjua mtu kabla hamjaoana!Ndo maana watu wanaobebana tu baadae kila mmoja anaanza sikujua yuko hivi..ningejua kumbe yuko vile!Kidini sio sawa ila katika ulimwengu wa leo ni muhimu sana!

Huko ni kujidanganya tena sana. Wewe unadhani tabia ya mwanamke au mwanaume kabla ya kuoana itakuwa sawa na baada ya kuoana rasmi? Kalagha bakho!! Kwani kujuana maana yake ni kulala pamoja!! Kama ni shetani basi amekutawala kwelikweli.
 
YaPO MAMBO YA KUTESTI KAMA CHUMVI KATIKA MBOGA,CHAI KAMA SUKARI IMEZIDI AU LAA! ILA CO UCHI, HAYA MAMBO MAZITO JAMANI,KATIKA DHAMBI KUBWA NI II, MANA AMELAANIWA YULE ATENDAYE DHAMBI JUU YA MWILI WAKE MWENYEWE(KUZINI) SASA MNAOSEMA LAZMA KUPMA KAMA PANA LIPA AU LAA CJUI NI WA DINI GANI TUJISAHIHISHE WAJUMBE!

Nakubaliana na wewe asilimia mia moja.
lakini mimi kuna kitu najiuliza "ON SECOND THOUGHT"!!

Kama tutaendesha uchumba kwa staili ile ya mafundisho ya kule kanisani yani ile ambayo ukiwa na mvulana tu, kesho unaitwa kwenye kikao cha wamama, na hakuna kukutana sehemu ingine isipokuwa kanisani, na ukionekana unashtakiwa kwa Mchungaji.
Halafu mwisho wa siku mkioana, mko ndani hakuna mchungaji wala wamama, na mambo ndo hivo tena.........unajua mi nikipenda sana siweze kufanya chochote naridhika tuuuuuuuuu!!!!! Ni mwanaume huyo............. utaishi kwa Imani?? Na mwili ndo unawaka sasa si umeolewa?? Au utafunga......... yeye anaridhika akikuona tu, mengine hawezi kufanya.........!!!

Kama hujakumbuka bora ningemchungulia kwanza!!!! Humo kwenye Suruali .................
 
Hebu soma mstari huu hapa Mpendwa:
Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo,
kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu. Efeso 3:20.

Tukumbuke kwanza tunaokolewa kwa neema, na Imani juu ya Mungu huja kwa kusikia na kusikia huja kwa neno la Mungu.
Tukumbuke kiwango cha Imani na nguvu ya Imani ndani ya mtu inatofautiana. Na Mungu anafanya mambo kadiri ya nguvu iliyopo ndani yako.

Ninachotaka kusema ni nini? Tusiwe na haki kupita kiasi, Kila mtu hapa duniani ana njia yake ya kupita, kuna mtu mmoja anaitwa Hosea aliambiwa aende akaoe mzinzi fulani hivi. Fuatilia ukoo wa Yesu, usome habari za Ruthu, Rahabu, na wengine.

Sasa basi kwa kuwa dunia imezungukwa na mambo mengi, siweze kumlazimisha mtu aamini kama ninavyoamini mimi, hasa kwenye swala la mahusiano, hili swala limekaa kimwili zaidi, mnisamehe!! Hakuna kuhubiri injili humo ndani, wala kuimba mapambio. Sasa ukikutana na huyo asiyeweza sijui utaishi naye kwa Imani, wakati kama ungemfahamu mapema ungefanya uamuzi mapema??

hakuna mwenye haki hata mmoja. hata Biblia hiyo hiyo inasema 'wote wamepungukiwa na utukufu wa Mungu'.. tunaokolewa kwa neema. Wala sitaki kumaanisha kwamba mawazo yangu ndio kila kitu. hapana. Ninaoandika ninayoyaamini.

Nafikiri kama umeweza kukubali kuishi na mtu kwenye nyumba moja, sioni point ya kutest hapo.
Kuna namna nyingi tu za kumjua mtu kulingana na unavyoona wewe. Sifikirii kwamba ni lazima uishi naye kwanza. that was my point.
sote hapa tunajifunza, ni mtu mwenyewe anaamua achukue kipi na aache kipi. These are my opinions.
 
Huko ni kujidanganya tena sana. Wewe unadhani tabia ya mwanamke au mwanaume kabla ya kuoana itakuwa sawa na baada ya kuoana rasmi? Kalagha bakho!! Kwani kujuana maana yake ni kulala pamoja!! Kama ni shetani basi amekutawala kwelikweli.

Taratibu mkuu, kumbukeni tupo duniani jamani, ingawa tunatakiwa kuishi kwa roho, na kuishi kwa roho ni Neema.
Hebu tusaidieni sisi tunaofikiri, ni afadhali kukagua kabla ya kuamua vizuri, angalieni vigezo tunavyovitoa mtuelimishe.

Sisi ni wajinga lakini tukifundishwa tutakuwa werevu!!!!! tupeni Elimu wakuuu!!
 
hakuna mwenye haki hata mmoja. hata Biblia hiyo hiyo inasema 'wote wamepungukiwa na utukufu wa Mungu'.. tunaokolewa kwa neema. Wala sitaki kumaanisha kwamba mawazo yangu ndio kila kitu. hapana. Ninaoandika ninayoyaamini.

Nafikiri kama umeweza kukubali kuishi na mtu kwenye nyumba moja, sioni point ya kutest hapo.
Kuna namna nyingi tu za kumjua mtu kulingana na unavyoona wewe. Sifikirii kwamba ni lazima uishi naye kwanza. that was my point.
sote hapa tunajifunza, ni mtu mwenyewe anaamua achukue kipi na aache kipi. These are my opinions.

Thanks my dear, God bless you much much.
Hebu nisaidie hiyo njia nyingine, ya kumjua mtu kwa kweli, inauma unaingia na mtu kwenye ndoa unaamini sasa kiu kiu zile zitaondoka halafu unakuta ndivyo sivyo. Nahitaji hiyo Elimu Mpendwa.
 
Huko ni kujidanganya tena sana. Wewe unadhani tabia ya mwanamke au mwanaume kabla ya kuoana itakuwa sawa na baada ya kuoana rasmi? Kalagha bakho!! Kwani kujuana maana yake ni kulala pamoja!! Kama ni shetani basi amekutawala kwelikweli.

Asante mkuu,
Watu tunasahau kuwa wa2 wawili wanapokutana wanatengeneza tabia ya kipekee (emergent properties)..
Na pia hakuna mtu perfect 100% hapa duniani. Kila mtu ana mapungufu yake.
 
Back
Top Bottom