Unyonyaji wa Vodacom umekithiri

Tafsiri ya kiswahili mkuu........wengene std 1...to2
 
Vodacom wajinga....sawa
Vodacom wapumbavu....sawa
Vodacom wezi.......sawa

Unakwenda Vodacom kufanya nini? Ridhika ba tigo iliyo nafuu na tamu na nyepesi na rahisi na yakisasa
Tigo matapeli wa kwanza.....hapa tz..mkuu

Mwaka 2015 niliweka 2000 nilichelewa kujiunga wakakata ..juu kwa juu nika wapigia simu kuwauulza vipi tgo.

Majibu...

Nilijunga na huduma zao nka sema swa,nikaingia tigo ivushe nikavuta mpunga 50000...hadi leo hii sijwai lipa wal kuweka vocha wala tigo pesa................


ubaya ni ubya.....nani anataka upumbuvu......



Peace & Love
 
Hii inawahusu matajiri kama nyie
 
Nilifikiri ni mimi peke yangu. Voda makalio sana keimamae zao!
 
Nachoshindwa kuwaelewa watumiaji wa voda ni hiki. Unaona kabisa huduma za huu mtandao hazikufurahishi lakini bado umekakamaa misuli kuendelea kutumia mtandao huo huo utafikri na wewe unamiliki share za hiyo kampuni.
 
Nilifikiri ni mimi peke yangu. Voda makalio sana keimamae zao!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Pole babu, wangejua kama wewe ni babu wasingekufanyia hivyo
 
Voda hamtufanyi poa kabisa hapa nimeshawakopa na laini naiweka kapuni
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Pole babu, wangejua kama wewe ni babu wasingekufanyia hivyo
Wasengerema sana wallah... Super UNI wamepunguza toka 3GB mpaka 1.5GB kwa wiki kwa 5000Tshs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…