Unyonyaji wa Vodacom umekithiri

[emoji16] umetisha mkui tena usiwalipe na mm nawaza sijui niwakope kwanza ndo niitupe hii line
 
Vodacom wanabwereka sanaa sahiv mm nimeungwa kwenye kifurushi sijui cha red na sijawh kujiunga hiyoo kitu salio langu wakalikata nawapigia wanadai nilishwah kujiunga na mm sijawah wala sijawah mpa mtu simu yangu
Hii ni aina nyingine ya wizi wanaoufanya mm nlikua nnakwatwa tsh 58 kila niwekapo salio data iko off ila ukiwapigia wanakwambia umeitumia kwenye internet hapo ndipo nlipojua ni wezi
 
Daaahh, inauma sana, mimi ni mwanachama wao Active masaa yote lakini wananifanyia ufirauni sana.

Ngoja niendelee kupambana nao hivyo hivyo
Was not active nlikua loyal customer per month bundle 50000tsh ila kwa hilo sina budi kuingia shop kutafuta mbadala. We komaa tu mkuu
 
Maoni yenu wdau kati ya halotel na airtel ipi iko vizuri kwenye internet bundles na coverage
 
hamia tigo kama mm mkuu gb 2 kwa wiki kwa buku jero tu mkuu sambamba na sms na dakika shazi
 
Ukiwa kwa Madiba utahitaji 17,000 hadi 20,000 kupata 2GB kwa week, bilanhzo kolombwezo zingine.
 
Mkuu unlimited kwenye kuitumiabhyo kwa siku tatu..thonunaweza imaliza ata kwa masaa
 
Mkuu unlimited kwenye kuitumiabhyo kwa siku tatu..thonunaweza imaliza ata kwa masaa
Huwa naitumia kwa wiki na kubaki kabisa, tena sms za kawaida ndio natumia kwa wingi zaidi maana kuna watu wanatumia simu ndogo na mawasiliano nao ni kupiga na sms tu.

Sasa iweje siku 3 tu ziwe zimekata ilihali MB bado zipo...

Hapa nilipo nimenunua kifurushi cha sms kwa 500/= cha 24hrs ili kusogeza hii siku.
 
Ukiwa kwa Madiba utahitaji 17,000 hadi 20,000 kupata 2GB kwa week, bilanhzo kolombwezo zingine.
Mkuu huko mnajiweza ss huku pangu pakavu tia mchuzi vikipandishwa kama hivyo inatuwia vigumu kidogo
 
Hii ni aina nyingine ya wizi wanaoufanya mm nlikua nnakwatwa tsh 58 kila niwekapo salio data iko off ila ukiwapigia wanakwambia umeitumia kwenye internet hapo ndipo nlipojua ni wezi
Dah! Pia ukibakiza salio la 500 utakuta imebaki 401. Hapo huwa wanaiba sh. 99
Hao ni wezi wakubwa wanafanya hivyo kwa watu wengi kuvuna pesa
 
Hata mimi nimechoka nao, hakuna unafuu kila uchwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…