HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,399
- 6,077
JPM alisema vile kulinda chama jamaa anamadudu sana sijui kwanini hawayaoniHuyo si mbunge ambaye JPM alimpa misifa mingi hadi akasema angekuwa ana mamlaka angemuhamishia jimbo la Chato kwa vile ana mwitikio la maendeleo kwa sana
Kibarakaamewapa trekta kila kijiji bure, bado mnalalamika, mpewe nini nyie watu?
JPM alisema vile kulinda chama jamaa anamadudu sana sijui kwanini hawayaoni