warudi makwao tu.
full stop.
Nasikia hawa cheap labour wakifika huko jamaa wananyang'anya passport hapo airport yaani hakuna kutoka sasa watarudi vipi kwao ni ishu kwa kweli
tumezidi ubwege...
habari hizo sio mpya..
na wengine watapanga foleni kwenda huko......
Jiulize kama kweli Wasaudia ni Waislamu wazuri,mbona hawawezi kusaidia waislamu wenzao Somalia,Darfur etc?
Ndio maana waislamu wengi pamoja na kulaani Western life style,wamefurika European countries kwa sababu ya freedom !
Bora unipe Mzungu kuliko Mwarabu na Mhindi.They are worst!!!!!!
issue ya Darfu wala usiongelee hapa, waarabu wote wanasapot selikali ya albashiri inayosaidia janjaweed kuwaua watu weusi ambao wengi wao ni waislam. kumbuka sudan ni nchi ya kiislam, na wanafikiri kufanya hivyo watawalazimisha wale wasudan kusini kuwa waislam pia. waarabu ndivyo walivyo.kumbuka ndo walioongoza utumwa kwenye coast of east africa.
KUNA MSAADA WOWOTE TZ ILISHAWAHI KUPOKEA TOKA NCHI ZA WAARABU? mfano, utakuta uingereza imechangia mamia mabilioni kwenye bajeti, ulishawahi kuona wamefanya hivyo hapa tz? hawawezi, zaidi ya yote wataleta pesa kujenga misikiti ambayo ina watu watano tu, ila kukupa kitu mwarabu, subutu. ukifanya kazi kwake, anakutupia majini, hela akikupa mshahara zinarudi kwake. roho ya kutu, we unafikiri ndo maana wanajitoa muhanga ni kawaida? NB; sio waarabu wote, kuna waarabu wengi tu ambao wameokoka na wanampenda Yesu, ile roho ya mwamedi haimo ndani yao na wanakua watu wazuri tu.
Jiulize kama kweli Wasaudia ni Waislamu wazuri,mbona hawawezi kusaidia waislamu wenzao Somalia,Darfur etc?
Ndio maana waislamu wengi pamoja na kulaani Western life style,wamefurika European countries kwa sababu ya freedom !
Bora unipe Mzungu kuliko Mwarabu na Mhindi.They are worst!!!!!!
Hivi kuna la kushangaza au jipya kutoka kwa Wamanga?
unawajua waarabu au hauwajui? ULIZA, kipindi cha utumwa, mamilioni wa watu weusi toka east africa walienda uarabuni, leo wako wapi? waliwakata mashilingi ili wasizae, wachache tu utawakuta sauri na iraq etc. na weusi wengi unaowaona huko uarabuni wamehemea toka the horn of africa. rudini kwenu, huko mliko si kuzuri, ni maskani ya shetani, ndo kitabu cha kutolea albadili kilishukia huko jueni, kitabu kinachofundisha kufuga majini, ati kuna majini mazuri na mabaya.
una generelise bana sio wote ..mbona warabu watuwazuri tuu... mbona wazungu walikuwa wakoloni pia? i swear on my mother's name there are lot and lot of black ppl here in Middle East... u just dont see them.. because nobody treat them differently here not like American...kuna ndugu zangu arusha wemesema nao wanondoka mwezi ujao ngoja ni mjulishe hili,ila tangu lini mwarabu akawa mtu mzuri?tangu enzi za ukoloni nani alikuwa anauza binadam mwenzie kama siyo wao? nani alishaona mtu mweusi uarabuni?wote waliowapeleka kama manamba waliwahasi,tena huwa nawashangaa sana ndugu zangu wapembe kwa kushebedua nao,hawa watu hawafai