Unyanyasaji wa WaBongo Saudi Arabia - II | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unyanyasaji wa WaBongo Saudi Arabia - II

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkeshahoi, Mar 18, 2010.

 1. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wadau... I get disturbed everytime I read these..No wonder thery say Arab world is a closed society...! nimeipata hii kutoka Swahili Time Blog....

  wanablog na watz wote.
  habari za kazi na poleni kwa juhudi zenu za kuwahabarisha watanzania kwa njia ya mtandao. nawatumia link hizi kuonesha hali halisi ya raia wa kigeni wanaokuja kutafuta maisha saudia jinsi wanavyofanyiwa. hatua hii imetokana na mimi mwenyewe kuwa nipo katika matatizo haya lkn mbaya zaidi kuona kuwa walionileta kutoka huko tz wanaendelea kukusanya vijana wengine kama mimi na kuwadanganya kwa kuwaahidi maisha bora wakifika huku saudia.
  link hizi ni za vyombo vya habari ambavyo vimekuwa vikiripoti manyanyaso haya sio tu ndani ya saudia bali pia nje ya saudia lakini kwa makusudi serikali ya hapa inafumba macho na kujifanya kuwa inatenda haki. wapo waliouwawa, waliopata ulemavu wa kudumu, nk na daima makosa huwa ni ya wageni. wasaudi hawana kosa hata kama wataua au kumpa mtu ulemavu. nchi nyingine za asia zimeanza kuzuia raia wao kuja kufanya kazi hapa kutokana na hali hiyo.
  vyombo vya sheria ndio kabisa kuanzia polisi hata mahakama. kwanza ukifika kulalamika utaambiwa hatujui kiingereza zungumza kiarabu kama hujui ukatafute mwanasheria. sasa mshahara wenyewe riyal 500 hadi 800 (riyal 1 ni tsh 300) utamlipa mwanasheria gani? pili huyo jamaa unayemlalamikia ni bilionea hivyo hata polisi hafiki utasikia unajibiwa huu ni uzushi msaudi hawezi kufanya hivi nenda zako. hapo kesi imeisha.
  naomba musambaze taarifa hizi kadri muwezavyo hata kutumia magazeti, redio na tv ili vijana wenzangu watz kama mimi wanaotafuta kazi za udereva, uhouse girl, kuuza maduka, kwenye viwanda na makampuni nk wasidanganywe na kuja kupata mateso kama yaliyonikuta mimi hivi sasa.
  tafadhali pokea link hizi.....

  http://www.migrant-rights.org/2009/11/28/abusive-saudi-employer-keeps-his-filipino-driver-in-jail/
  http://arabnews.com/saudiarabia/article23575.ece
  http://www.mideastyouth.com/2009/10/07/abuse-of-domestic-workers-in-the-gulf/
  http://gulfnews.com/news/gulf/saudi-arabia/tortured-maid-in-serious-condition-after-amputation-of-her-limbs-1.201123
  http://information-hub.ofw-connect.com/OFW_Articles/migrant_workers_abused_in_saudi_Arabia
  http://www.migrant-rights.org/2009/05/03/indonesian-maid-suffers-horrific-abuse-in-saudi/
   
 2. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Huku si sehemu salama ambako wapemba wanadream kwenda kila siku au? Si ndo watu wadini sana hawa? Kweli zile tetesi nilizosikia kuwa Saudi wabaguzi kumbe ni kweli hii kitu!
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  warudi makwao tu.
  full stop.
   
 4. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Nasikia hawa cheap labour wakifika huko jamaa wananyang'anya passport hapo airport yaani hakuna kutoka sasa watarudi vipi kwao ni ishu kwa kweli
   
 5. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  unawajua waarabu au hauwajui? ULIZA, kipindi cha utumwa, mamilioni wa watu weusi toka east africa walienda uarabuni, leo wako wapi? waliwakata mashilingi ili wasizae, wachache tu utawakuta sauri na iraq etc. na weusi wengi unaowaona huko uarabuni wamehemea toka the horn of africa. rudini kwenu, huko mliko si kuzuri, ni maskani ya shetani, ndo kitabu cha kutolea albadili kilishukia huko jueni, kitabu kinachofundisha kufuga majini, ati kuna majini mazuri na mabaya.
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  tumezidi ubwege...
  habari hizo sio mpya..
  na wengine watapanga foleni kwenda huko......
   
 7. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Nasikia Dar kuna agencies za hawa watu kabusa na kila mwaka wadanganyika huwa wanaenda huko
   
 8. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kuna ndugu zangu arusha wemesema nao wanondoka mwezi ujao ngoja ni mjulishe hili,ila tangu lini mwarabu akawa mtu mzuri?tangu enzi za ukoloni nani alikuwa anauza binadam mwenzie kama siyo wao? nani alishaona mtu mweusi uarabuni?wote waliowapeleka kama manamba waliwahasi,tena huwa nawashangaa sana ndugu zangu wapembe kwa kushebedua nao,hawa watu hawafai
   
 9. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  ni wabongo tu, au na wakenya, wasomali, na watu wa nchi zingine?
   
 10. SHUPAZA

  SHUPAZA JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2010
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  dah! poleni sana wageni wa hapo lakini kama mnashindwa kuvumilia nadhani mrudi tu home nawadays bongo tambarare mambo safi tu
   
 11. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Jiulize kama kweli Wasaudia ni Waislamu wazuri,mbona hawawezi kusaidia waislamu wenzao Somalia,Darfur etc?
  Ndio maana waislamu wengi pamoja na kulaani Western life style,wamefurika European countries kwa sababu ya freedom !
  Bora unipe Mzungu kuliko Mwarabu na Mhindi.They are worst!!!!!!
   
 12. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  issue ya Darfu wala usiongelee hapa, waarabu wote wanasapot selikali ya albashiri inayosaidia janjaweed kuwaua watu weusi ambao wengi wao ni waislam. kumbuka sudan ni nchi ya kiislam, na wanafikiri kufanya hivyo watawalazimisha wale wasudan kusini kuwa waislam pia. waarabu ndivyo walivyo.kumbuka ndo walioongoza utumwa kwenye coast of east africa.

  KUNA MSAADA WOWOTE TZ ILISHAWAHI KUPOKEA TOKA NCHI ZA WAARABU? mfano, utakuta uingereza imechangia mamia mabilioni kwenye bajeti, ulishawahi kuona wamefanya hivyo hapa tz? hawawezi, zaidi ya yote wataleta pesa kujenga misikiti ambayo ina watu watano tu, ila kukupa kitu mwarabu, subutu. ukifanya kazi kwake, anakutupia majini, hela akikupa mshahara zinarudi kwake. roho ya kutu, we unafikiri ndo maana wanajitoa muhanga ni kawaida? NB; sio waarabu wote, kuna waarabu wengi tu ambao wameokoka na wanampenda Yesu, ile roho ya mwamedi haimo ndani yao na wanakua watu wazuri tu.
   
 13. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  HIyo kwenye red nafikiri ulimaanisha Wakristo au?
   
 14. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #14
  Mar 18, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Juzijuzi nilikuwa naangalia documentary moja BBC kuhusu maisha ya Prince of Saudia hata watoto wake wanaishi London.
   
 15. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #15
  Mar 18, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Hivi kuna la kushangaza au jipya kutoka kwa Wamanga?
   
 16. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #16
  Mar 18, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hakuna jipya mkuu. Hao ndo wanyenyekevu wenye dini ya haki! Lol! Wanaendeleza mila za mtume wao Muham-mad mkuu.
   
 17. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  NENO LA MUNGU linasema

  Isaya 57:19-21

  19. Mimi nayaumba matunda ya midomo; Amani, amani, kwake yeye aliye mbali, na kwake yeye aliye karibu; asema Bwana; nami nitamponya.
  20. Bali wabaya wanafanana na bahari iliyochafuka; maana haiwezi kutulia, na maji yake hutoa tope na takataka.
  21. Hapana amani kwa wabaya; asema Mungu wangu.

  Kwahiyo hawa watu hawatakaa wawe na amani mpaka watakapoamua kuachana na shetani na kumjua MUNGU wa kweli.
   
 18. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Ile si ni nchi takatifu kwa mujibu wa dini fulani? sasa watu watawaaminije?
   
 19. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ooow damn man thats not true I see many black arabs here.... have u heard of them... they dont even call themselves africans
   
 20. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  una generelise bana sio wote ..mbona warabu watuwazuri tuu... mbona wazungu walikuwa wakoloni pia? i swear on my mother's name there are lot and lot of black ppl here in Middle East... u just dont see them.. because nobody treat them differently here not like American...
   
Loading...