Bwana uber
Member
- Jul 30, 2018
- 22
- 33
Jamani naomba kueleweshwa nini maana ya unyanyasaji wa kimapenzi,nimekua nikisikia nchi za wenzetu hasa huko kwa Trump kuna watu wanakesi za unyanyasaji wa kimapenzi,.Je nahapa kwetu kuna kesi kama hizi?maana sijawah kusikia au hapa kwetu hakuna unyanyasaji wa Kimapenzi?