Unyama wa Bi.Hilari Clinton!

Unyama wa Bi.Hilari Clinton!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,689
Reaction score
18,493
Huyu Mama Clintoni ambaye kuna gumzo kwamba anategemea kugombea Uraisi kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo cha Marekani, amefanya unyama wa hali ya juu amekwenda kuongea (na wanafunzi) kwenye Chuo Kikuu fulani huko Marekani na kudai kulipwa Dola za kimarekani 160 000 kwa kuongea tu, Chuo kikafanya hivyo na sasa wameongeza (Chuo) ada kwa wanafunzi kwa asilimia 4% kwa miaka miwili ijayo ili kufidia hiyo Gharama!

Kama siyo Unyama ni nini? Huyu mama tayari ni milionea (wa Dola US) na bado anakwenda kuwakamua watoto si ajabu wengine wa maskini wanaosoma kwa Mikopo...
 
hayo ni ya USA na hayajaanza leo na kama alilipwa basi atalipia kodi

the value for money kwa kuongea na chuo inazidi hiyo perepete yako

komaa na maisha dogooo, USA wamefika walipo kutokana na mfumo wa kibepari... sio kila kitu siasa

katika walioshiriki mjadala si ajabu wapo waliopatiwa sponsorship na hawakulipamkodi, na ujue yawezekana pesa hiyo imetoka kwa sponsors wa chuo kwa kuona value ya mama clinton kushiriki mdahalo huo

unajua aliyemhoji alilipwa kiasi gani?? vipi unajua CNN walipata mileage kiasi gani??
 
Huyu Mama Clintoni ambaye kuna gumzo kwamba anategemea kugombea Uraisi kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo cha Marekani, amefanya unyama wa hali ya juu amekwenda kuongea (na wanafunzi) kwenye Chuo Kikuu fulani huko Marekani na kudai kulipwa Dola za kimarekani 160 000 kwa kuongea tu, Chuo kikafanya hivyo na sasa wameongeza (Chuo) ada kwa wanafunzi kwa asilimia 4% kwa miaka miwili ijayo ili kufidia hiyo Gharama!

Kama siyo Unyama ni nini? Huyu mama tayari ni milionea (wa Dola US) na bado anakwenda kuwakamua watoto si ajabu wengine wa maskini wanaosoma kwa Mikopo...

Yaani kawakamua wamarekani wenzake wewe unaumia duh!
 
Back
Top Bottom