Unyama unaondelea kati ya Armeania na Azbaijan

Unyama unaondelea kati ya Armeania na Azbaijan

Al assad

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
1,404
Reaction score
1,517
Katika kupita pita kusoma habari nimeona video ikionyesha maiti za wanajeshi wa Azbaijan wakizikwa katika kaburi la pamoja tena kwa kutumia winch.

Hii inaonyesha ni namna gani mahasimu hawa wanachukiana..ila pia inasemekana kuwa Armenia wamefikia kufanya hivyo kwa kile walichokiita kuwa mahasimu wao hawataki kuchukua maiti za wanajeshi wake kwa kutaka kuficha idadi ya vifo nchini kwao na pia kuondoa panic kwa umma wa nchini mwao.

View attachment 1609756

 
Katika kupita pita kusoma habari nimeona video ikionyesha maiti za wanajeshi wa Azbaijan wakizikwa katika kaburi la pamoja tena kwa kutumia winch..

Hii inaonyesha ni namna gani mahasimu hawa wanachukiana..ila pia inasemekana kuwa Armenia wamefikia kufanya hivyo kwa kile walichokiita kuwa mahasimu wao hawataki kuchukua maiti za wanajeshi wake kwa kutaka kuficha idadi ya vifo nchini kwao na pia kuondoa panic kwa umma wa nchini mwao.

View attachment 1608783
Azerbaijan mpaka Sasa haijatangaza idadi ya vifo na majeruhi kwa upande wa askari wake tofauti na Armenia.

Huenda Azerbaijan imepoteza mamia ya askari japo inasemekana wameteka maeneo mengi sana ya hilo jimbo yaliyokuwa yanadhibitiwa na Armenia kwa muda mrefu.

Nadhani Uturuki imewasaidia sana Azerbaijan pakubwa mno kwenye hii vita mpaka kuteka maeneo mengi.
 
Vipi ni wewe uko nchini mwako je kipendi kile maiti zikiokotwa kwenye viloba mtoni ulipaza sauti? Tuanzie hapo kwanza.
Mimi sijawahi kushabikia unyama ,ukatili au dhuruma za aina yeyote iwe zimefanyika nchini au nje ya nchi.
Hata baadhi ya matukio yanayitokea nchini ya kuteka watu, kuwauawa au kuwanyanyasa kwa namna yeyote huwa siyapendi.

Mimi ni muumini sana wa equality and dignity!
 
Azerbaijan bado ni dhaifu kidogo kwa Armenia. Juzi nimeona Putin akisema Vita hii ishapoteza 5000 mpaka Jana. Pande zote zinakubaliana kusitisha mashambulizi lakini wakiwa katika mazungumzo wajeda wananukish. Hali Ni mbaya. Kibaya zaidi Hawa wote ni marafiki wakubwa wa Urusi
 
Azerbaijan bado ni dhaifu kidogo kwa Armenia. Juzi nimeona Putin akisema Vita hii ishapoteza 5000 mpaka Jana. Pande zote zinakubaliana kusitisha mashambulizi lakini wakiwa katika mazungumzo wajeda wananukish. Hali Ni mbaya. Kibaya zaidi Hawa wote ni marafiki wakubwa wa urusi
Zote zilikuwa ktk muungano wa Usoviet kwa hiyo ni watoto wa baba mmoja
 
Back
Top Bottom