Unyama uliofanywa na Mkurugenzi wa Shirika la Bima kwa wafanyakazi wake

Ok
Hii inaonyesha ni roho mbaya kiasi gan watu wanashindwa kuelewa kuna watoto na ndugu wa ngapi walikua wanategemea kazi hyo hyo kwa kumfukuza kazi mtu 1 kumesabisha maumivu ya watu kiasi gani.
Ukiwa kazini perform tafadhali hasa serikalini na kampuni za umma kuna watu hopeless sana wanaajiriwa wengine kwa vimemo vya wazazi wao
Nenda mteja hata hajali Kesho panga likipita analia !!! Wakati ukiwa kazini anajiona yeye Mungu mtu anataka nani amwonee huruma akipata matatizo?

Hebu angalia mashirika ya umma Tanesco, NIC,uhamiaji kitengo cha Passport,posta nk hivi wakitumbuliwa na nyodo zao au wakipata shida unategemea nani awatetee zaidi ya kufurahia kupata matatizo kwao? Wakati kampuni za bima kibao zinazunguka mitaani kutafuta wateja NIC desk officers wanasubiri wateja wawafuate ofisini hao videsk officer na vitai vyao mitumba vilivyonunua kwa machinga

NIC walikuwa wao tu ila hawakuwa business oriented ndio maana Serikali ikaona ujinga turuhusu tu kampuni binafsi zije na wananchi tulishangilia kama tulivyoshangila ujio wa kampuni binafsi za simu mbadala wa TTCL ambayo mtu ulikuwa unaomba simu ya kuwejewa au Sanduku la barua posta unakaa Miaka mitano hujafungiwa unaviona videsk officer vinazunguka tu na vikalamu mikononi lakini performance zero!!! Walipopunguzwa kazini mimi nilifurahi mno

NIC sio siri wanabidi wapunguzane tena desk officers wengi performance zero
Hawana value addition kwenye shirika hata kuwalipa mafao ni kama uhujumu uchumi tu wanalipwa kwa performance ipi?
 
Upo sahihi mkuu mkurugenzi aliruhusu watu kuchukua mikopo ya miaka 5 baada ya mwaka 1 kuchukua akasimamisha kaz watu zaidi ya 70 akawasiliana na bank na kublock account hakuna ata mfanyakazi mmoja aliyechukua pesa yake bank mpaka leo!! Anavyosema twende mahakaman anajua hatuna pesa ya kuwalipa mawakili ns yy atashindaa
Benki ndizo zina block sasa una zoez kwenye shirika la kupunguza wafanyakazi unategemea benki iingie kichwa kichwa kukopesha mtu ambaye anytime aweza punguzwa?
 
Benki ndizo zina block sasa una zoez kwenye shirika la kupunguza wafanyakazi unategemea benki iingie kichwa kichwa kukopesha mtu ambaye anytime aweza punguzwa?
Kama alijua atampango wa kupunguza watu kwa nn aliruhusu watu kuchukua mikopo ??? Na form za mikopo alisain mkurugenzi kwamba tuchukue mikopo au unataka to disclose ujinga wake acha mambo yko ww
 
Benki ndizo zina block sasa una zoez kwenye shirika la kupunguza wafanyakazi unategemea benki iingie kichwa kichwa kukopesha mtu ambaye anytime aweza punguzwa?
Mbona tulipewa sasa mikopo nan alituzamin mikopo ya miaka 5-7???
 
Kama alijua atampango wa kupunguza watu kwa nn aliruhusu watu kuchukua mikopo ??? Na form za mikopo alisain mkurugenzi kwamba tuchukue mikopo au unataka to disclose ujinga wake acha mambo yko ww
Alisaini tu kuwa wewe ni mwajiriwa wake sio kuidhinisha mkopo!!! Benki ndio kuidhinisha!! Yeye sio mkopeshaji !! Wakopeshajiwatakuwa walushtuka baada ya kuona kuna zoezi la kupunguzana wakaona watapoteza pesa zao wakasimamisha japo fomu zenu zilisainiwa kuwa nyie wafanyakazi wa NIC!!
 
Hakuna mwajiri anadhamini mkopo yeye huandika tu kuwa wewe mwajiriwa wake
Ba bank gan inaweza toa mkopo kama mwajiri hana ajira ya kudum?? Au isiyoeleweka? Kwanza mmesababisha matatizo ata bank fanyakazi wameachishwa kaz kwa ajili ya ujinga wenu!!!
 
Naomba miulize Suali! Sasa hii habari umeileta hapa ili watu wafanyeje labda? Mbona wanaokupa mawazo unawatukana tena?
 
Upo sahihi mkuu mkurugenzi aliruhusu watu kuchukua mikopo ya miaka 5 baada ya mwaka 1 kuchukua akasimamisha kaz watu zaidi ya 70 akawasiliana na bank na kublock account hakuna ata mfanyakazi mmoja aliyechukua pesa yake bank mpaka leo!! Anavyosema twende mahakaman anajua hatuna pesa ya kuwalipa mawakili ns yy atashindaa
Mtu mwenye mke na mtoto/watoto anajua unachopitia pindi unapositishwa ajira achana na hawa vijana wanaokaa kwa shemeji Goba wanakula ugali wa bure na jioni wanaenda gym.
 
Back
Top Bottom