Unyama tuliofanyiwa na CCM kwa miaka 20 namuachia mungu

upload_2017-6-14_11-42-17.png
 
tusianze kupongezana still safar ni ndefu
Eti huko bungeni wajadili azimio la kumpongeza rais, sasa wanampongeza kwa lipi wakati bado safari ndo kwanza mbichi,ni lipi ambalo limeshatatuliwa hadi sasa hivi hadi kuanza kupongezanan?.
 
Cha kusikitisha ni kwamba CCM hao hao wenye tuhuma lukuki wakihamia upande wa pili wanakuwa lulu,wanapewa na bendera ili wapate ridhaa ya kuendeleza unyama ule ule.

Tulipofikia hai-make hata sense kuilaumu CCM sababu hata mbadala wa CCM nao Ni wapumbavu Tu.
 
Back
Top Bottom