Action, ongezeni mazoezi na technique za mapigano ziwe unique mkuu. Mfano Agent Bavo ukicheki mapigano yake kuna uniqueness fulani na yote ni kwasababu ya utimamu katika mazoezi. Jipikeni haswa na mbuni technique bora za kusapraizi watu.
Meseji kaka. Bongo tunafeli kwenye kutengeneza script zenye kugusa uhalisia wa maisha yetu ya kitanzania. Hizi script za mabifu kuanza sababu za utapeli au kuibiwa au mzazi kuuliwa na majambazi zimepitwa na wakati na ni nyingi. Na script siyo lazima uangaishe kichwa sana. Kuwa mpenzi wa kutazama movie za wenzetu kwa sana kisha beba idea na ufanye editing.
Mengine kama video quality na technical parts zingine kwakuwa ni mwanzo siwezi walaumu sana japo mmejitahidi.
Action movie, jifue uwe fiti na mwepesi na technique za kutosha. Kwa wataalamu wa ngumi tukiangalia action tu tukaona ya kawaida na ubunifu umekuwa mdogo wengi huwa tuna ignore.
Yote niliyoongea ni maneno. Pigeni kazi wazee mwanzo changamoto nyingi. Kikubwa ubunifu kila kukicha ni muhimu na.msitidhike na uwezo mlionao