Huo si unyama. Wanyama huwa hawafanyani hivyo wala hawawafanya binadamu hivyo. Kwataarifa yako hapo ni china na huyo mnyama (mbwa) yupo machinjioni.anasubiri kufanywa kitoweo ( najua kuwa kama ingekuwa ni mbuzi au shwaini ungeona sawa tu, ila dog aaa ni ujama.
Mkuu hata wewe jogoo la Chrismas utahakikisha halikimbii. Ndio dunia ilivyo kila kitu huwa na matumizxi mbali mbali kulingana na pahala!