Unyakuo wa kanisa

nashukuru mkuu sijakoma,imeandikwa mpende jirani yako kama nafsi yako,upendo ndio amri kuu,sasa nawewe kupita hapa maana yake una mchango mkubwa katika hili suala,tunahitaji mchango wako weka virungu chini.

Hapo kwenye red ndio mtihani wenyewe, ni wangapi wanatimiza hili? Mmmh labda wale 'Infidels'
 
mkuu osaka,mpinga kristo ni roho inayompinga kristo kuwa ni mwana wa Mungu

Ok Chimbuvu!
Every spirit that confesses that Jesus Christ has come in the flesh is of God , and every spirit that does not confess that J/Christ has come in the flesh is NOT of God. And this is the spirit of AntiChrist, and is now already in the world
 
Nanyi mtakapoliona chukizo la uharibifu lile lilinonenwa na nabii daniel,limesimama pasipolipasa(asomaye na afahamu),basia laiye shamba asirudi nyumbani,wala aliye darini asiteremke''
hakuna ajuaye siku wala saa ya kuja kwake kristo.lakini tegeneza maisha na uwe tayari kwa siku ya bwana
 
1thessalonians 4;16-18 (for the Lord himself shall descend from heaven with a shout,with the voice of archangel,and with the trump of God;and the dead in christ shall rise first.then we which are alive and remain shall be caught up together with them in the CLOUDS,to meet the Lord in the air;..........comfort one another with these words ) wasomaji wa bible wanasema hilo andiko linaelezea unyakuo wa kanisa kulitoa lisiingie ktk dhiki kuu ambapo ukisoma biblia kipindi cha lutu Mungu aliwaepusha lakini walikuwa ktk hiyo saa ya uharibifu,na nuhu naye alipita ktk hali ya maangamizo aliona ingawa hayakumfikia lakini kwa kanisa halitaona saa ya dhiki kuu revelation 3;10...because thou hast kept the word of my patience,I also will KEEP THEE FROM THE HOUR OF TEMPTATION,WHICH SHALL COME UPON THE WORLD,to try them that dwell upon the earth.
 
Kuna njia nyingi za kufundisha; njia mojawapo ni kuuliza maswali kwanza. Mkuu Chimbuvu napenda kujua kama Mpinga Kristo (Anti-Christ) unamfahamu. Mpinga Kristo ni nani?

wanasema ni obama. rais wa marekani
 
9/9/9 Series. The Fall of Babylon the Great,
Revelation 18:9-12.....where you merchandise your gold and silver, precious stone and pearls, fine linen and purple, silk and scarlet Hii ilikua World Trade Center (WTC). Mwenye hekima na ayaone haya.
 
Mimi nadhani huyu mkuu ni mchunganji na anatafuta nafasi ya kuhubiri. Sina tatizo kuhubiriwa. Ni vyema. Baadaye itapita kapu tuchangie. Sina shida kuchangia, ni vyema. Roho mtakatifu amempotezea njia ili aje hapa jukwaa la biashara apate mawaidha kuusu kanisa vs pesa. Kwanza ni vizuri makanisa yaanze kulipa kodi ya mapato wanayo kusanya makanisani kama sadaka - Hii itatimiza vile ilivyo andikwa 'Ya kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe Mungu (mark 12:17, mathew 22:21) na pia watoe receipt kutoka kwa ETR - Electronic Tax Register- kwa kila muhumini aliye changia. Ni muhimu pia kuwe na tume maalum ya kuhakikisha kanisa haliendeshwi kama mali ya mtu binafsi. Hii itatuondolea makanisa yanayo undwa na watu wenye malengo ya kupata pesa tu. Wanawaweka wake zao, waume zao kama directors wa kanisa na mwisho wake wanaacha uridhi wa mali ya kanisa kwa wanawe wakati kanisa ni mali ya waumini wengi. Biblia inatutangazia kwamba siku za mwisho watakuja watakao tuhubiria uongo. Kuepusha hii kitu inabidi kuwe na bodi za wakristo zenye uwezo wa kumtoa muhubiri anaye fundisha kitu ambacho hakiendani na biblia au anaye tumia mali za kanisa vibaya, kisa na maana kuwa ndiye mwanzilishi wa hilo kanisa. Mambo haya yapo zaidi kwenye makanisa ya watu binafsi sio mainstream churches. Moja wapo ya majukumu ya kanisa ni kusaidiana na serekali kuondoa umasikini, tume liwe linapata feedback ni vipi kanisa linafanya hili. Baadaye nadhani tuzungumzie gharama za unyakuo, watakao pata faida kwenye unyakuo tuwajue na watakao pata hasara, ili tujipange mapema. Tutakao baki tujue kama tunaweza kuzamia nchi za waarabu ambao labda hawatanyakuliwa. Karibu sana kwenye jukwaa la biashara mkuu, utuongezee ufahamu kuusu haya mambo
 
Back
Top Bottom