Ununuzi wa Tv Zanzibar

Ununuzi wa Tv Zanzibar

Tatizo lipo bandarini Dar tu, kama walimsikiliza Rais aliposema kuna watu wanawazidishia ushuru watu na kama wameacha basi utaivusha salama na utafurahia.
Nimevusha tv mara 2 na mara zote nimeishia kusumbuana nao, mfano nilikuwa na tv inch 43 wakataka eti niwape 180,000 kama ushuru nikagoma na kuiacha hapo baadae wakaniita nikalipa elfu 57 tu, mara ya pili nimevusha inch 32 wakasahau tena wakaniambia nilipe 170,000 nikaiacha baadae nikalipia elfu 37.
Pale bandarini wanakupigia ushuru wa kutoka nje yaaani ile VAT iliyotakiwa kulipwa wakati bidhaa inatoka let say China, ukiwauliza mbona hoi bidhaa ishalipiwa ilipoingia Zanzibar hapo ndio hawatakupa majibu sahihi, watalazimisha ulipie 18% VAT, ukiwagomea na kuwaomba muongozo wa TRA hapo ndio mtalipana kishkaji. Unachotakiwa kulipa ni ile pungufu ya VAT, yaani kama bidhaa ililipiwa VAT 15% ilipofika Zanzibar na huku bara ilitakiwa kulipiwa 18% basi wewe unatakiwa kulipa 3% ilibaki.
Usisahau kuna gaharama za kupita bandarini zanzibar ambayo ni kama elfu 7 na Dar nao wanataka elfu 10, hiyo ni tofauti na ushuru, pia kwenye boti za Kilimanjaro wanataka ulipie kama elfu 30 kwa tv kuazia inch 32.
Njia nyingine ambayo sio salama sana ni kupitia meli za mizigo, hapo unaitoa bure, ila usalama ndio majaaliwa.
Afadhali ume tujuza mkuu
 
IMG_0841.JPG
tupo dar es salaam ubungo karibu na stop over
04A04B5B-7F35-4A5B-8FD4-D4C90C9633BB.jpg
imebaki 1

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nauza tv aina ys samsung nchi 32 bei lak 3 na hamsini maongezi yapo tv ipo kwenye hali nzur sana

Mawasiliano

O692792519
0719590756
IMG-20200108-WA0011.jpeg
IMG-20200108-WA0010.jpeg
IMG-20200108-WA0009.jpeg
IMG-20200108-WA0008.jpeg
IMG-20200108-WA0007.jpeg
IMG-20200108-WA0006.jpeg
 
Tatizo lipo bandarini Dar tu, kama walimsikiliza Rais aliposema kuna watu wanawazidishia ushuru watu na kama wameacha basi utaivusha salama na utafurahia.
Nimevusha tv mara 2 na mara zote nimeishia kusumbuana nao, mfano nilikuwa na tv inch 43 wakataka eti niwape 180,000 kama ushuru nikagoma na kuiacha hapo baadae wakaniita nikalipa elfu 57 tu, mara ya pili nimevusha inch 32 wakasahau tena wakaniambia nilipe 170,000 nikaiacha baadae nikalipia elfu 37.
Pale bandarini wanakupigia ushuru wa kutoka nje yaaani ile VAT iliyotakiwa kulipwa wakati bidhaa inatoka let say China, ukiwauliza mbona hoi bidhaa ishalipiwa ilipoingia Zanzibar hapo ndio hawatakupa majibu sahihi, watalazimisha ulipie 18% VAT, ukiwagomea na kuwaomba muongozo wa TRA hapo ndio mtalipana kishkaji. Unachotakiwa kulipa ni ile pungufu ya VAT, yaani kama bidhaa ililipiwa VAT 15% ilipofika Zanzibar na huku bara ilitakiwa kulipiwa 18% basi wewe unatakiwa kulipa 3% ilibaki.
Usisahau kuna gaharama za kupita bandarini zanzibar ambayo ni kama elfu 7 na Dar nao wanataka elfu 10, hiyo ni tofauti na ushuru, pia kwenye boti za Kilimanjaro wanataka ulipie kama elfu 30 kwa tv kuazia inch 32.
Njia nyingine ambayo sio salama sana ni kupitia meli za mizigo, hapo unaitoa bure, ila usalama ndio majaaliwa.
Hawa jamaa pale bandarini uhuni mwingi, ukikomaa kutaka muongozo TRA hapo ndio wanashituka na mnaenda sawa, serikali inabidi iweke sawa hasa uvushaji wa tuvitu tudogo dogo Kama Tv na redio. ZANZIBAR so TANZANIA JAMANI!!!!
 
Tatizo lipo bandarini Dar tu, kama walimsikiliza Rais aliposema kuna watu wanawazidishia ushuru watu na kama wameacha basi utaivusha salama na utafurahia.
Nimevusha tv mara 2 na mara zote nimeishia kusumbuana nao, mfano nilikuwa na tv inch 43 wakataka eti niwape 180,000 kama ushuru nikagoma na kuiacha hapo baadae wakaniita nikalipa elfu 57 tu, mara ya pili nimevusha inch 32 wakasahau tena wakaniambia nilipe 170,000 nikaiacha baadae nikalipia elfu 37.
Pale bandarini wanakupigia ushuru wa kutoka nje yaaani ile VAT iliyotakiwa kulipwa wakati bidhaa inatoka let say China, ukiwauliza mbona hoi bidhaa ishalipiwa ilipoingia Zanzibar hapo ndio hawatakupa majibu sahihi, watalazimisha ulipie 18% VAT, ukiwagomea na kuwaomba muongozo wa TRA hapo ndio mtalipana kishkaji. Unachotakiwa kulipa ni ile pungufu ya VAT, yaani kama bidhaa ililipiwa VAT 15% ilipofika Zanzibar na huku bara ilitakiwa kulipiwa 18% basi wewe unatakiwa kulipa 3% ilibaki.
Usisahau kuna gaharama za kupita bandarini zanzibar ambayo ni kama elfu 7 na Dar nao wanataka elfu 10, hiyo ni tofauti na ushuru, pia kwenye boti za Kilimanjaro wanataka ulipie kama elfu 30 kwa tv kuazia inch 32.
Njia nyingine ambayo sio salama sana ni kupitia meli za mizigo, hapo unaitoa bure, ila usalama ndio majaaliwa.
Ukitumia meli ya mizigo itabidi aipakate hadi afike kwa usalama zaidi
 
Back
Top Bottom