NALO LITAPITA
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 333
- 90
Heshima kwenu wakuu,Tafadhali naomba kusaidiwa jambo.Ninahitaji kununua TV flat screen yenye bajet ya 1,100,000.
Sasa kuna mdau mmoja aliwahi kuniambia kuwa Zanzibar TV ni bei nafuu zaidi ya Dar.
Mwenyeuzoefu naomba kusaidiwa je ikiwa nikienda kununua Zanzibar hakuna vikwazo vyovyote kuvuka nayo kuja huku bara?
Pia kama kuna mtu anauzoefu na bei za TV upande wa visiwani tafadhali naomba abcd juu ya suala hili.
Natanguliza shukrani wakuu.