Until you love somebody๐Ÿ˜๐Ÿ˜

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜hili vibe huwezi kupewa hivihivi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ lazima kuna mchango hapo
Ha ha! Mwenye mchango wake na ashukuriwe kwa kufanya kazi nzuri kazi ya kujenga taifa..๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ
 
Ha ha! Mwenye mchango wake na ashukuriwe kwa kufanya kazi nzuri kazi ya kujenga taifa..๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ

Ndio lililobaki hamna namna๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Kwa sasa, kwa mbeleni mmmh.....hawa wasanii baadhi yao huwa wako na mambo mob sana (BAADHI YAO)

Maisha ni sasa mbalizi1. As long as wanapendana and they are happy hiyo baadae itajisort yenyeweโ˜บโ˜บ

Kila jambo lina wakati wake; uko wakati wa kupenda na upo wakati wa kuacha kupenda๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Mwanamke yoyote duniani anapenda, anafurahia na anahitaji kupendwa

Mungu awabariki wanaume wote mnaotimiza hii haja ya mioyo ya wanawake zenu๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ™
Yani unamaanisha Mungu anibariki?
Basi sawa, na iwe hivyo. Ameen
 
Maisha ni sasa mbalizi1. As long as wanapendana and they are happy hiyo baadae itajisort yenyewe[emoji5][emoji5]

Kila jambo lina wakati wake; uko wakati wa kupenda na upo wakati wa kuacha kupenda[emoji2][emoji2]
Naelewa mama D: Nilitamani sana isingekuwa (wasanii) , si kitu hata hivyo, ni maisha
 
Mbinguni hamna kuoa wala kuolewa. Hilo.

Eeeh, ndio maana ulitumwa duniani uje kuoa na kufanya ya dunia hii kabla hujaenda kupumzika kwa amani๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Eeeh, ndio maana ulitumwa duniani uje kuoa na kufanya ya dunia hii kabla hujaenda kupumzika kwa amani๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Lakini ndoa sio kitu kibaya. And besides ndoa na mambo mengi ya dunia yako "oves" kabisa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ