Uno (Harmonize) vs Baba lao (Diamond)

Kioo cha jamii ni lazima uwe na heshima. Na mimi ni sehemu ya jamii hivyo ninahusika.
Kama unataka heshima komaa na dini yako huku ni burudani tu,nobody is perfect mkuu
 
Huo wimbo wa mondi ni wa utani, hata hakuwa serious. Cha ajabu mmeuweka na levo ya Uno..
Yaonyesha jamaa ni balaa..
Utani? Unadhani karekodiwa bure? Video je unadhani katoa mawe? Eti utani jiheshimu hata Mara moja basis,hakuna utani kwenye kazi jamaa yuko serious nq kajibu mapigo
 
Hiyo wimbo mondi kaiimba moja wa moja. Wla haiatungwa kwanza. Na ni nyimbo wala haiko kwenye mahesabu. Yaani ni freestyle flanî ilikuwa mtu kajirelax tu.
Huwezi kuimba verse zaidi ya moja bila kuandika Mimi kama msanii nasema huwezi milele na milele wasanii wa hip hop pekee ndo wwanaweza kufanya hivyo labda ungeniambia wimbo kaandikia studio
 
Kama ndio hivo basi hawa wasanii wetu wana hela sana View attachment 1257258
Maajabu yanakuja kuna wasanii wa Marekani km Young thug,kodak Black pamoja na ukubwa wao wote eti Net worth yao ni chini ya dolla 5 millioni..yaani Mond na kiba wanampita Young thug eti..lakini maisha ya young thug na kiba ni mbingu na ardhi
 
Pesa ipo africa mdogo angu bado kuna mengi ya kufanya.........nje kila kitu kishafanywa
 
Ndio ninaposhangaa mana hawa wasanii wetu hata kumiliki gari ya million 300 tu ni shida ila wanautajiri zaidi ya billion 8
 
Pesa ipo africa mdogo angu bado kuna mengi ya kufanya.........nje kila kitu kishafanywa
Eh unaota wewe! Tuonyeshe pesa zako ulizopata Africa..maana mimi ninavyojua maisha ya kijana wa kiafrica na nje ya Africa ni mbingu na ardhi..weww unaetuambia pesa zipo Africa unaweza kutuonyesha zilipo!?..
 
Huwezi kuimba verse zaidi ya moja bila kuandika Mimi kama msanii nasema huwezi milele na milele wasanii wa hip hop pekee ndo wwanaweza kufanya hivyo labda ungeniambia wimbo kaandikia studio

Acha kukariri

Nikutajie nyimbo ambazo hazijaandikwa?
 
Eh unaota wewe! Tuonyeshe pesa zako ulizopata Africa..maana mimi ninavyojua maisha ya kijana wa kiafrica na nje ya Africa ni mbingu na ardhi..weww unaetuambia pesa zipo Africa unaweza kutuonyesha zilipo!?..
Akili mgando..nmejenga nna kazi nzuri nahudumia familia..unataka nini...we nenda ulaya ukaoshe wazee halafu ujikute ela yote unaishia kwe kodi usafirii na chakula...naongelea kutokana na experience. ? Nmekaa uholanzi na ubelgiji mwaka mzima
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…