unlocking Zantel modem

unlocking Zantel modem

Daady

Member
Joined
Jul 22, 2010
Posts
64
Reaction score
20
Nitawezaje ku-unlock zantel modem ya Model: HUWAEI EC122?
 
hiyo modem naomba kuwa na mashaka juu ya upatikanaji wake kama niwa uhakika basi mahal ulipo kma kuna ofis za zantel bas fika na risiti afu wata swap na kuflash a whole systems
 
hiyo modem naomba kuwa na mashaka juu ya upatikanaji wake kama niwa uhakika basi mahal ulipo kma kuna ofis za zantel bas fika na risiti afu wata swap na kuflash a whole systems
sasa wengine risit ya vitu kama hivi hata hatutunzagi...kwanza hata sikumbuki kama nilipewa na risit...!! inakuaje hapo..!!?
 
sasa wengine risit ya vitu kama hivi hata hatutunzagi...kwanza hata sikumbuki kama nilipewa na risit...!! inakuaje hapo..!!?

ok!shaka ondoa nenda nayo hivyo na kama wakikuletea tafrani yoyote juu ya upatikanaji wake kuwa tayari kujibu
 
Nadhani ingekuwa vyema umshauri njia gani anaweza itumia kuchakachua yeye mwenyewe sio mpka aipeleke modem zantel
 
Nitawezaje ku-unlock zantel modem ya Model: HUWAEI EC122?

Mkuu hii ni gsm au cdma?
Kama ni gsm jaribu kugoogle kwa sana
Lakini kama ni cdma inakuwa next to imposibo.
Swala la kuipeleka zantel wakai swap halipo vinginevyo wasinge zilock
 
I think ni zile modem ambazo hazitumii laini kutoka Zantel. EC122 ni CDMA. Wajinga hawabahatishi, huwezi ku unlock kabisa. Endelea kuitumia hiyo hiyo coz ndo mtandao wenye internet yenye kasi kuliko yote.(part of etisalat) km gharama ni kubwa ifanye card reader but ku unlock usiangaike ht kutafuta ushauri.
 
Back
Top Bottom