Does anyone has any idea on how to unlock tiGo modems nowadays?
Nlikuwa naweza kuzi-unlock zamani lakina sikuhizi hata ukiweka line nyingine, ile box kwa ajili ya kuingiza unlock code haiji; au ukitumia program ya Code Writer, inakuambia "error"
Muwe mnachukua muda wenu kutafuta kwanza post za zamani kuona kama jambo lilishajadiliwa au la kabla ya kuuliza misaada.
Jambo hili la kuchakachua tigo modems za huawei limezungumzwa sana hapa kwenye jukwaa hili na maelekezo yametolewa sana. Sasa kila mmoja akiingia JF na kuja na swali hili hili huoni hatutajadili mambo mengine?
Nakushauri ufanye homework yako maana kuna thread nyingi sana zimezungumzia ombi lako.
Asante kwa kunielewa.
Does anyone has any idea on how to unlock tiGo modems nowadays?
Nlikuwa naweza kuzi-unlock zamani lakina sikuhizi hata ukiweka line nyingine, ile box kwa ajili ya kuingiza unlock code haiji; au ukitumia program ya Code Writer, inakuambia "error"
Zamani ni kweli kuwa mtu alikuwa anaweza kuzi-unlock tigo moderms lakini kwa sasa HAIWEZEKANI kabisa kwani kama unakumbumbuka uuzwaji wa hizi moderms ulisimamishwa ni kutokana na hilo tatizo,then zikawa updated kiasi kwamba you cannot unlock them in any way.