Mc2nyi Senior Member Joined Nov 5, 2013 Posts 194 Reaction score 200 May 13, 2018 #1 Habarini wadau. Naomba msaada wa kuifanya portable wireless modem iweze kusoma line za Tz.
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,059 Reaction score 15,534 May 13, 2018 #2 Weka maelezo yote kuwa iyo modem imetoka nchi gani pia ni brand gani na model yake ni ipi. Maelezo yako hayo hayasaidii kitu. Funguka mzee upate msaada. Yani ikiwezekana weka na picha
Weka maelezo yote kuwa iyo modem imetoka nchi gani pia ni brand gani na model yake ni ipi. Maelezo yako hayo hayasaidii kitu. Funguka mzee upate msaada. Yani ikiwezekana weka na picha