unlocked modem ya kununua inahitajika, tsh 15,000/=

unlocked modem ya kununua inahitajika, tsh 15,000/=

YouTube

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Posts
936
Reaction score
363
iwe unlocked yani iwe inakubali laini yoyote, iwe nzima na iwe haina tatizo lolote, isiwe ya uwizi tafadhali. pesa taslimu niliyonayo ni hiyo TSH 15,000/= , napatikana Ubungo, Dar es salaam. inawezekana unazo zaidi ya moja nyingine huzihitaji au unaihitaji pesa ya fwasta. please send message or call 0714 345958, thenkyu

jf daima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom