Unlocked 4G Wi-Fi router needed

Unlocked 4G Wi-Fi router needed

Malikauli

Senior Member
Joined
Mar 3, 2012
Posts
150
Reaction score
114
Wasalaam, natafuta Wi-Fi router ya 4G ila iwe inaweza kutumika kwa line ya mtandao wowote kwa sababu nitahitaji kuitumia nikiwa maeneo tofauti tofauti ya Tz hivyo kulazimika kubadili line mara kwa mara kupata mtandao bora. Kwa anayeweza kuwa nayo au anajua duka gani naweza pata naomba anielekeze. Nipo Dar es salaam.
Asanteni
 
Back
Top Bottom