Unlock Zantel Modem

Unlock Zantel Modem

Kafiti

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
538
Reaction score
220
Nimejaribu ku-update firmware za Zantel modem EC122 baada ya kumaliza tu imekuwa ikigoma kusoma line yoyote hata modem yenyewe imekuwa haisomi,,,,,,Msaada nifanye nn au kuna njia ya kuirestore to its older version
 
Tumia Cmda workshop au tafta dumpiso ikusaidie kutoa downgrade.
Au ntaachat default firmware ya hyo modem ninayo.
Pia kabla hujaupdate firmware kumbuka kubackup nvitem files.
 
may b ume install driver mbili kwa wakati mmoja za modem mmoja em angalia kwenye installed prog.or go to My computer right click, Manage, and find modem driver if it is their,if yellow
icon1.png
? is shown in your modem driver Right click,update drivers. If does not work repair window every thing will be solved. ( causes of the fault Uninstall modem driver while modem is pluged to the PC. if you go in deep you will find that how PNP { Plug-in And Play} device work proprly)

icon14.png
 
Tumia Cmda workshop au tafta dumpiso ikusaidie kutoa downgrade.
Au ntaachat default firmware ya hyo modem ninayo.
Pia kabla hujaupdate firmware kumbuka kubackup nvitem files.
Naisubiri bro
 
Back
Top Bottom