Wote ni CCM
Wote ni wala rushwa wakubwa
Wote kesi zao za kupokea rushwa kubwa zilifutwa na kupewa vyeo vikubwa zaidi ya walivyokuwanavyo
Hii ndiyo Tanzania
Hawa wote makada wa ccm, matapeli wezi wapiga dili wanaominika na chama na kupewa uongozi.
Na hawa ndio wanaothibitisha ccm ni pango la wanyang'anyi
Jpm sijui anakwama wapi kuwatambua hao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.