Unlock of iphone 4.2.1

Unlock of iphone 4.2.1

Solent

New Member
Joined
Aug 5, 2009
Posts
2
Reaction score
0
Wakuu, nna simu ya iphone 4, ilikuwa na ios ya 4.0.2 na juzi nilipokonect na laptop yangu ikaapdate na kuwa 4.2.1 since then imekwama na inataka original sim card only, naomba msaada kwa mtu anyejua ku-jail break and to activate iphone4
 
mkuu ucpende sana kupdate online hzo iphone ukisha fanya hivyo mara nyingi wanaziweka kwenye os baseband za juu ambazo mara nyingi zinakuwa azipo saported kuunlockiwa kwa mda huo ss kama hyo unaitaji uijailbreak kisha unlock mafail yake ni makubwa labda nikutumie link udownload mwenyewe nikupe na program zakutumia
 
So far hamna unlock ya iOS 4.2.1 ila unaweza kijailbreak na kusubiri unlock. Jail break kwa kutumia Greenpoison. Utaipata hapa iPhone Hacks
 
Wakuu, nna simu ya iphone 4, ilikuwa na ios ya 4.0.2 na juzi nilipokonect na laptop yangu ikaapdate na kuwa 4.2.1 since then imekwama na inataka original sim card only, naomba msaada kwa mtu anyejua ku-jail break and to activate iphone4

kaka pole ...hiyo kitu ngumu na solution yake haijatoka...yaani we sikilizia mziki tu hiyo iphone...simu ndo basi tena hapo
 
kaka pole ...hiyo kitu ngumu na solution yake haijatoka...yaani we sikilizia mziki tu hiyo iphone...simu ndo basi tena hapo

Mkuu, mbona unamkatisha tamaa mwenzio, kama anaweza kurudisha ile ios ya 4.1 nai-jailbreak.
 
Unaweza kufungua 4 I-Simu urahisi kwa kutumia kijijini kufungua huduma, Unaweza kupata kijijini I-Simu 4 kufungua huduma katika hapa Classicunlocking.com na kufungua ni kutoka Lock Network .
 
mkuu usiogope, hapo ishu ndogo sana, kwanza kabisa fungua Settings-->General-->About, then nisomee Modem Firmware Version number kama inafana na hiyo kwenye Attachment 04.10.01 hiyo ni BaseBand ya simu ambayo ipo unlockable kwa Gevey Sim ambazo zinauzwa around elfu 20 au 30 Dar',, kama ni version 01.59.00 utaweza kuUnlock baada ya kuJailbreak ambayo sio ishu,,ila weka hapa Modem Firmware ili tuweze kukusaidia,,, :eyebrows: :eyebrows:NB: umeUpdate IPhone 4 kwa Itunes si ingeweka latest Version ya IOS 5.0.1, maana IOS 4.2.1 ni Final Version ya IPhone 3G!!!!????:shock: :shock:
szebuv.jpg
 
Just update it to the latest iOS 5 itakuwa mwake
 
Back
Top Bottom