Unlock of iphone 4.2.1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unlock of iphone 4.2.1

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Solent, Feb 15, 2011.

 1. S

  Solent New Member

  #1
  Feb 15, 2011
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wakuu, nna simu ya iphone 4, ilikuwa na ios ya 4.0.2 na juzi nilipokonect na laptop yangu ikaapdate na kuwa 4.2.1 since then imekwama na inataka original sim card only, naomba msaada kwa mtu anyejua ku-jail break and to activate iphone4
   
 2. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu ucpende sana kupdate online hzo iphone ukisha fanya hivyo mara nyingi wanaziweka kwenye os baseband za juu ambazo mara nyingi zinakuwa azipo saported kuunlockiwa kwa mda huo ss kama hyo unaitaji uijailbreak kisha unlock mafail yake ni makubwa labda nikutumie link udownload mwenyewe nikupe na program zakutumia
   
 3. Lussadam

  Lussadam JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2011
  Joined: Oct 13, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 386
  Trophy Points: 180
  So far hamna unlock ya iOS 4.2.1 ila unaweza kijailbreak na kusubiri unlock. Jail break kwa kutumia Greenpoison. Utaipata hapa iPhone Hacks
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kaka pole ...hiyo kitu ngumu na solution yake haijatoka...yaani we sikilizia mziki tu hiyo iphone...simu ndo basi tena hapo
   
 5. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu, mbona unamkatisha tamaa mwenzio, kama anaweza kurudisha ile ios ya 4.1 nai-jailbreak.
   
 6. j

  jeeva Member

  #6
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 13, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unaweza kufungua 4 I-Simu urahisi kwa kutumia kijijini kufungua huduma, Unaweza kupata kijijini I-Simu 4 kufungua huduma katika hapa Classicunlocking.com na kufungua ni kutoka Lock Network .
   
 7. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  mkuu usiogope, hapo ishu ndogo sana, kwanza kabisa fungua Settings-->General-->About, then nisomee Modem Firmware Version number kama inafana na hiyo kwenye Attachment 04.10.01 hiyo ni BaseBand ya simu ambayo ipo unlockable kwa Gevey Sim ambazo zinauzwa around elfu 20 au 30 Dar',, kama ni version 01.59.00 utaweza kuUnlock baada ya kuJailbreak ambayo sio ishu,,ila weka hapa Modem Firmware ili tuweze kukusaidia,,, :eyebrows: :eyebrows:NB: umeUpdate IPhone 4 kwa Itunes si ingeweka latest Version ya IOS 5.0.1, maana IOS 4.2.1 ni Final Version ya IPhone 3G!!!!????:shock: :shock: [​IMG]
   
 8. i411

  i411 JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Just update it to the latest iOS 5 itakuwa mwake
   
 9. n

  nisha123 Member

  #9
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It is a interesting sharing........
   
Loading...