Tafadhali nisaidie kwenye hiiUNLOCK MODEM ZA 4G TIGO:Kama una modem ya 4G ya tigo (E3372h-153) ambayo hujaifanyia ANY modifications, nafanyia network unlock ili iweze tumika kwa mitandao yote!. Plus network unlock code pia nakupatia(Just incase).
NOTE: For now, Hii ni kwa walio DSM tu (mpaka nitakapo shusha Tech Guide ya jinsi ya kufanya hii kitu.).
Check me up inbox if serious, uzi unajieleza, so si tegemei maswali ya ajabu inbox.
Kwa wale ambao wako serious, check me inbox, tuone tunafanya vp. Remember kwa sasa ni kwa wale walio DSM...
1. Modem ikidai Unlock code.
2. Baada ya kuweka code, ikawa ina piga mitandao yote.
3. Modem nikiwa nimeiwekea Modded(Unlocked) UI...
4. Huawei E3372h-153
VP kuhusu mobile hotspot za tigo?
Nisaidie kwenye hii:
Huawe
Tafadhali nisaidie kwenye hii
- Huawei E3531 Model E3531i-1 airtel
hii inakuomba Unlock Codes?
mkuuu msaada naomba unisaidie kupata hizo unlock codeUNLOCK MODEM ZA 4G TIGO:Kama una modem ya 4G ya tigo (E3372h-153) ambayo hujaifanyia ANY modifications, nafanyia network unlock ili iweze tumika kwa mitandao yote!. Plus network unlock code pia nakupatia(Just incase).
NOTE: For now, Hii ni kwa walio DSM tu (mpaka nitakapo shusha Tech Guide ya jinsi ya kufanya hii kitu.).
Check me up inbox if serious, uzi unajieleza, so si tegemei maswali ya ajabu inbox.
Kwa wale ambao wako serious, check me inbox, tuone tunafanya vp. Remember kwa sasa ni kwa wale walio DSM...
1. Modem ikidai Unlock code.
2. Baada ya kuweka code, ikawa ina piga mitandao yote.
3. Modem nikiwa nimeiwekea Modded(Unlocked) UI...
4. Huawei E3372h-153
code zpi?mkuuu msaada naomba unisaidie kupata hizo unlock code
za modem yangu nmtumie imeicode zpi?
ndio toa imei na model gn?huawei te o alcatel?za modem yangu nmtumie imei
model # sahihi hyo?zte fe 282 router,vp inawezekana kuifanya itumie line zote?? kwa sasa ni sasatel tu
E173CS O E173BU?Nisaidie unlocker ya huwai ya Airtel E173