Unlock modem mpya za Airtel ZTE MF190

hiyo hapo unatumia hiyo hiyo unlocker sema unatakiwa uchague aina ya modem yako kenye stage ya kwanza kabisaa
mkuu heshima yako kwanza. tafadhali nisaidie mie nina modem ya Airtel E153. please naomba msaada wa ku-unlock
Thanx.
 
Pamoja sanaaa
Kwangu imekubali inapiga mzigo vibaya sana,,kama vipi wakuu jaribuni alafu tupeane ripoti
mwana nakupa salute nyingi sana, me pia nimejaribu imekubali inapiga mzigo vibaya sana, nashukuru sana
HESHIMA KWAKO[/QUOTE]
 
how about E173 i have already tried in the dc unlocker but i receive some errors report and it's model isn't present there
 
Thnx! mkuu na miye pia ki2 kimekubali, inapiga mzigo kama kawa. much respect 2u.
 
Wakubwa nna swali. Baada ya kuunlock let say sasa unataka 2mia line ya voda inamaana utatakiwa utengeneze setting za internet za voda(yani kama proxy,port etc)au una2mia zilezile za airtel lakin mi nnavyo faham hzi settings hutofautianaa kwa kila mtandao. Sasa hapo inakuwaje naomba msaada wenu na kama ni hvyo naombeni mnielekeze jinsi ya kuingiza hayo maseting ya huo mtandao mwingine(i.e voda)
 
Try kuUpdate firmware yake kwanza ndo unlock..
how about E173 i have already tried in the dc unlocker but i receive some errors report and it's model isn't present there
 
Yap yap mkuu u have a point hapa ila line wanazozitengeneza nw zina uwezo wa kujiconfigure zenyewe bila kurequest wala kufanya mannualy na ndio maana hata ukichange line kwenye simu utaona inafanya configuration yenyewe sa the same applies kwenye modem line utakayoweka itajiconfigure yenyewe na kupiga mzigo kama kawa..
 
Mleta mada ku unlock zte modem ni rahisi kuliko unavyofikiri.
Kama una mautundu kweli lete yale ya ku unlock huawei e 173 hapo kichwa lazima kitakuuma!
 
vp mkuu kuhusu line za ttcl? Je na zenyewe sio Cdma?maana nshaziona zipo!
 
ku unlock huawei e 173 ni rahisi endapo imei yake inaanza na digit 35....,sio zile za 86...
 

Thanx, it works to all mobile service provider companies, i.e. Vodacom, tiGO, and Zantel. Sijajaribu kwa TTCL, Sasatel na BOL.
 
iyo trick ni kwa zte za airtel au zte zote? mana me nina ya voda
 
ngoja na mm nikajaribu yangu kuifukunyua maana kunajamaa alidai apigiwe ili kutoa maujanja kumpigia tuuu?? Anadai eti nimpe hera elfu 15 wakati model yenyewe nilinunua 30.
 
teh teh teh teh teeeeeeeeeee :becky::becky::becky: mkuuu thanks sana kuna jamaa hapa hapa jamvini jina naliweka kapuni alijifanya mjanja sanaaa? nilianzisha thread yakuomba hii huduma tena kwa modem hii hii .huyo jamaa aka coment chini kuwa solutio hii hapa ile ku clik tuu nakutana na namba ya sim kumpigia ooo story nyiiingi sijui niende nayo nibebe na elfu 15 tuu nayo kanitajia baada ya kumuomba anipunguzie. ushauri wangu kama ni wenzangu na mim bora muwe mnakaa tu kimya .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…