M.E.M.A
JF-Expert Member
- Jul 27, 2013
- 1,373
- 472
Acha uongo mkuuuu mie nime-unlock ya kwangu na haina taab yoyote na-enjoy positive economies of scale
Basi labda bahati nasibu. Hapa nina y300 wala sitaki kuisumbua.
Acha uongo mkuuuu mie nime-unlock ya kwangu na haina taab yoyote na-enjoy positive economies of scale
Wakuu kuna hizi simu zinazouzwa na Tigo, huawei ascend y200 na y300, zinatumia line moja tu ya tigo, je kuna maujanja gani ya kuziunlock ili ziwe zinatumia line zote?? thanx
Ukijaribu kuzi-unlock tu imekula kwako.
we ni mzushi na mwongo
Wakuu mnaeza mniambie kama Y300 zisharudi madukani.