habari zenu wanajamvi kwa mara nyingine nimerudi na tatizo jingine...ni jinsi ya ku-unlock modem ya airtel E153u-2 serial codes zake ni 357289042300572 natanguliza shukrani zangu kwenu
Hii imewekwa sana hapa jamani shida ni kwamba watu hamtafuti kama jambo hili lilishashuhguliwa zamani au la kabla hamjauliza swali.
Nenda hapaJINSI YA KUFLASH MODEM ZA HUAWEI E153 | MPEKUZIpakuwa hiyo software kisha enjoy kutumia sim kadi za voda na airtel na tigo tu.