Time Bandit
JF-Expert Member
- May 22, 2013
- 615
- 321
Thanks kwa ufafanuzi....manake ni juzi tu tuliambiwa UD inaongoza Afrika Mashariki.Kuna watu mbalimbali wanaofanya ranking za vyuo. Hivyo, si sahihi kutumia mtazamo wa website moja tu kana kwamba ni universal.
wengine wanasema mwaka huu 2013, UDSM ni ya 4 Afrika, ikizidiwa tu na vyuo vya South Africa. Makerere ni ya 11 na Nairobi inashika namba 20.
Soma hapa; Top 100 Universities in Africa | 2013 World University Ranking