University Rankings 2013,Makerere tops EA followed closely by UoN

Kuna watu mbalimbali wanaofanya ranking za vyuo. Hivyo, si sahihi kutumia mtazamo wa website moja tu kana kwamba ni universal.
wengine wanasema mwaka huu 2013, UDSM ni ya 4 Afrika, ikizidiwa tu na vyuo vya South Africa. Makerere ni ya 11 na Nairobi inashika namba 20.
Soma hapa; Top 100 Universities in Africa | 2013 World University Ranking
Thanks kwa ufafanuzi....manake ni juzi tu tuliambiwa UD inaongoza Afrika Mashariki.
 
Vigezo vya kuvipa vyuo Rankings mara nyingi huwa ni Research, Scientific projects and Publications.
 
Back
Top Bottom