haisee uko hakuna,ila mwanafunzi anaweza akaliwa na bado asipate mtelemko wowote kwenye paperHuko hakuna degree za chupi...?
Kwa kweli nimekubali,wakenya sio wa kuwachukulia poapoa wapo seriousAcha kuifananisha University of Nairobi na takataka kama Udsm, pale ndio kuna vipanga halali achana na hawa wa kwetu full kubeba degree za chupi na wanatembea mtaani kifua mbele
Hata wasomi wa kule ni tofouti na hawa wa kwetu, ukitaka ku prove hilo jaribu kurudi kwenye mashindano ya vyuo yaliokuwa yakiendeshwa na AIRTELKwa kweli nimekubali,wakenya sio wa kuwachukulia poapoa wapo serious
Kibongobongo siasa Nyingi hadi vyuoni.. St Jozee hamna GPA za papuchi laleqHata wasomi wa kule ni tofouti na hawa wa kwetu, ukitaka ku prove hilo jaribu kurudi kwenye mashindano ya vyuo yaliokuwa yakiendeshwa na AIRTEL
UNIVERSITY OF NAIROBI INAZALISHA MAFISADI NA WALA RUSHWA... SASA UNASEMA UBORA KWENYE NINI, Lakini UDSM ni vichwa vitupu, tizama MAGUFULI huyu rais wa Africa alivojifunza uzalendo pale, achilia mbali marais wengine kama kina kagame, kabila, mseveni nk... AU fanya research utagundua UDSM ni noma maana maprofesa wake ndio wanatengeneza POLICY za marekeni na kwngneko, mfano wao n kina profesa MUTAHABA....Usifananishe UDSM na vitu vya ajabu siku nyingine.. SAWA?Kwa kweli wa Kenya wamejitahidi sana,hii nairobi university nilikuanga naichukulia poa,kumbe ni bonge la chuo hakuna cha ubabaishaji.Nimetembelea universty of nairobi wiki iliyopita wapo mbali sana,yaani udsm cha mtoto.Kumbe tukiwaga umu bongo tunaamini udsm bonge la chuo,ila baada ya kuiona nairobi university ,yaani udsm lazima uiite chuo cha kata.Yaani naomba niifananishe university of nairobi na vyuo vingine apa bongo sitatenda haki.
Yaani wana maprofesa wanapiga research za kufa mtu,hakuna blaablaa ni mwendo wa sayansi na teknolojia.Yaani liprofesa limoja ni mepublish paper zaidi ya 100 alafu kwenye journal za kueleweka.
Kwa kweli udsm bado safari ni ndefu,maana ata kupublish udsm ni tatizo.
Kiufupi udsm tuendelee kuvitambia vyuo vya umu bongo ila kuvuka mipaka ahhh udsm ni chuo cha kata.
Ni kweliHata wasomi wa kule ni tofouti na hawa wa kwetu, ukitaka ku prove hilo jaribu kurudi kwenye mashindano ya vyuo yaliokuwa yakiendeshwa na AIRTEL
Hapana nimeishia darasa la saba,ata sekondari sijagusamtoa mada naomba CV yako ya elimu, usikute umeishia 4m 4
Ata mimi nilikuwai naamini hivyo,ila niliyoyashuhudia nairobi university nimebadlisha mtazamo wangu.UNIVERSITY OF NAIROBI INAZALISHA MAFISADI NA WALA RUSHWA... SASA UNASEMA UBORA KWENYE NINI, Lakini UDSM ni vichwa vitupu, tizama MAGUFULI huyu rais wa Africa alivojifunza uzalendo pale, achilia mbali marais wengine kama kina kagame, kabila, mseveni nk... AU fanya research utagundua UDSM ni noma maana maprofesa wake ndio wanatengeneza POLICY za marekeni na kwngneko, mfano wao n kina profesa MUTAHABA....Usifananishe UDSM na vitu vya ajabu siku nyingine.. SAWA?
Kibongobongo udsm ipo vizuri,sasa kweli tutalinganisha udsm na chuo gani apa bongo?ila majirani zetu wametuacha mbali sana.Acha waliosoma vyuo vya kata vya Tanzania watoe povu lao hapa.
Karibuni!!
Elimu bora haipo kwenye picha.Tuma picha, maneno matupu bila ushahidi ni udhalilishaji
Umesikia sakata la William Ruto kupewa PhD hewa graduation ijayo?Kwa kweli wa Kenya wamejitahidi sana,hii nairobi university nilikuanga naichukulia poa,kumbe ni bonge la chuo hakuna cha ubabaishaji.Nimetembelea universty of nairobi wiki iliyopita wapo mbali sana,yaani udsm cha mtoto.Kumbe tukiwaga umu bongo tunaamini udsm bonge la chuo,ila baada ya kuiona nairobi university ,yaani udsm lazima uiite chuo cha kata.Yaani naomba niifananishe university of nairobi na vyuo vingine apa bongo sitatenda haki.
Yaani wana maprofesa wanapiga research za kufa mtu,hakuna blaablaa ni mwendo wa sayansi na teknolojia.Yaani liprofesa limoja ni mepublish paper zaidi ya 100 alafu kwenye journal za kueleweka.
Kwa kweli udsm bado safari ni ndefu,maana ata kupublish udsm ni tatizo.
Kiufupi udsm tuendelee kuvitambia vyuo vya umu bongo ila kuvuka mipaka ahhh udsm ni chuo cha kata.