luckyprincecharming
New Member
- Jul 21, 2019
- 3
- 0
jamani nimesoma PCB nina DDD yan div two ya 12 ni course gan ya afya naweza kupata
Huwezi kupatajamani nimesoma PCB nina DDD yan div two ya 12 ni course gan ya afya naweza kupata
Mkuu, Test kuomba Degree tu asee...huwezi jua...Omba Bugando,KCMC,UDOM.Write your reply...Course nayoipenda sana ni medical lab ila TCU wameandka lazm uwe na C ya chemistry D ya Biology na E ya physics jumla point 6 ambazo mi nnazo Ila dah ntaenda diploma mm jmn