Mzee Mchopu
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,031
- 268
wee pimbi acha kukichafua chuo kwa ushamba wako nitumie # yako ya fm 4 , mwaka ulomalza o level na surname yako nikutolee
Mie kitambo nilishasema hiki chuo cha kata . kina mambo ya kise....nge ya kisen...ge kweli.
Udom ni chuo cha kata
Kata ipi?
imekua ni wiki mbili mfululizo sasa tangu muanze kutoa admission letter kwa njia ya mtandao kwa wanafunzi walochaguliwa hapo chuoni kwenu lakini cha kushangaza mpaka sasa hiyo system yenu ni mbovu haijapata kutokea kwa mfano mie binafsi haijanisaidia chochote kwa sababu naingiza index ya form four as my user name and surname as my password lakini naambia the do not match sasa na simu zenu hazipokelewi hii ni kero bora mgefanya kama udsm mkononi sasa nyie mnalazimisha kutumia mtandao na system yenu yenyewe ni mbovu na mbaya zaidi simu hampokei sasa kulikua kuna maana gani ya kuweka namba za simu kwa atakaye kumbana na tatizo la system halafu msipokee hizo ni dharau na kutusababishia usumbufu.
Umefika msim wa waliokosa UDOM na kupata vyuo visivyoeleweka kuonyesha hasira zao!karibun UDOM mje mshangae hata majengo
Avator mock,acha ushamba,hii udom yako ni ip unayoisema?mbona mi niko hapa haya siyaon!michango yote ipo kwenye website
karatas za waden unazolpia n zp mzee km continuing skuelew. rerkal ya wanafnz unalpa mara 2 how?