Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,759
- 37,370
Kipindi cha 2012 kushuka chini wasanii walijizolea umaarufu sana kwa nyimbo moja tu.
Kuna hawa vijana wa university corner na wimbo wao wa t-shirt na jeans.
Kiukweli wale jamaa kama ni jina lao la kikundi walitumia usanii kikamilifu kuanzia kutunga mpaka kuitendea haki beat.
Ni kitambo sana wimbo huu ulitoka kipindi kama kuanzia 2003.
Na sikuwasikia tena kutunga nyimbo na mpaka leo wapo wapi maana na sikia walikuwa wasomi wa UDSM.