de carter jr
Senior Member
- Aug 27, 2014
- 142
- 119
NIT uliomba course gani mkuu nimemuombea dogo naona pako wazi, Kwa upande wakeWakuu habari
Baadhi ya vyuo vimeanza kutoa matokeo kwa waliochaguliwa kujiunga na vyuo hivyo
Mfano chuo cha NIT na CBE sijajua kwa vyuo vingine hivyo login katika website chuo kwanzia leo mpaka tar 9 vyuo vyote vitakua tayariView attachment 1587212View attachment 1587213
Mm mwenyewe nimenyimwa nafasi kwa uoi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado ila nimeambiwa sina sifa ya kusomea iyo koziuoi kwan wametoa
Duuh...! PoleBado ila nimeambiwa sina sifa ya kusomea iyo kozi
Asante[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duuh...! Pole
Bado mzeeVipi SUA jamani.. Bado..?
😂😂😂😂dahBado ila nimeambiwa sina sifa ya kusomea iyo kozi
SUA Napo tayari, ndo km hivyo
Hii ni kwa mujibu wa account yako na kama yako uliomba kutokea 6 au Diploma..?SUA Napo tayari, ndo km hivyo
Hii ni kwa mujibu wa account yako na kama yako uliomba kutokea 6 au Diploma..?
Aiseeh, sasa nawaza Sie tuliojiandaa kuomba hii second round itakuwajeForm 6 hio
Kwaiyo selection tayar?SUA Napo tayari, ndo km hivyo