Rutakyamilwa
JF-Expert Member
- Feb 27, 2009
- 1,871
- 1,242
Why?
Kwa hiyo unasema TCU ni bomu tuifute kabisa maana haifanyi kazi yake kabisa ya uhakiki au ni hisia zako mkuu?Ukifanywa uhakiki na tume huru ikijumuisha na wataalamu say toka nje, ni vyuo vidivyozidi kumi vitasimama.
1.UDSM
2. MUHAS
3. SUA
4. MZUMBE
5. ARDHI
6. OPEN
7. KCMC
8. CUHAS
9. KAIRUKI ?????
10. ????????
I regret for those might feel offended. Masahihisho yanakaribishwa
Hoya hivi vyuo vina sifa ipiUkifanywa uhakiki na tume huru ikijumuisha na wataalamu say toka nje, ni vyuo vidivyozidi kumi vitasimama.
1.UDSM
2. MUHAS
3. SUA
4. MZUMBE
5. ARDHI
6. OPEN
7. KCMC
8. CUHAS
9. KAIRUKI ?????
10. ????????
I regret for those might feel offended. Masahihisho yanakaribishwa
Umeliona ilo mkuuWatanzania ni watu wa mihemko tu but no visions no mission. Tutaendelea kuwa na wasomi wa maneno tu na vyeti vitendo hola na kusifia vyuo tukiwa tunaburuzwa na mataifa yenye "wasomi kazi" sio maneno na vyeti
ushauri wako kwa serikali ni nini?
Kwa hiyo unasema TCU ni bomu tuifute kabisa maana haifanyi kazi yake kabisa ya uhakiki au ni hisia zako mkuu?