Mie nimesoma Degree ya kwanza Engineering (4 yrs) India, niliipenda sana India kwa sababu ni wazuri sana hasa kwenye mambo ya IT, ICT na Engineering. Wako fit na wana labs na vifaa vizuri hasa vya technologia..ukisoma katika chuo kinachojulikana utakuta kina facillities nyingi na nzuri..hakika ukirudi na ukajilinganisha na wenzako waliosoma Programme hiyo hiyo hapa kwetu Bongo..unaona tofauti....kama unataka kwenda kusoma Engineering na science courses tafuta India Institutes of Technology (IITs) na india Institutes of Sciencs (IISc) then fuatia na vyuo maarufu..unaweza kugoogle ukaona Top 50 au 100 Univs in India....sasa kama wataka kusoma masomo ya biashara au sheria au jamii hapo sijui zaidi..